Mfalme Zumaridi kama umeshindwa kuongoza kanisa, pisha mchungaji mwingine

Achaneni na zumaridi muongee vzr na mmewe ndio anamcontrol mkewe zuu
 
Nimeelewa uzi baada ya kufika page ya Pili.
 
Nikadhani imekuaje makanisa yote huko Uyole iweje ukasali mwanza?
Ila baada ya kuskiliza mziki mzito na fujo za waimba kwaya kweli zumaridi ufalme wake tumempa ila katuchoka waumini
 
Huhitaji cheti chochote kutoka kanisa moja kuhamia kanisa jingine lolote la jirani, wewe ni kwenda tuu, ukifika unajitambulisha tuu na kushiriki ibada.
P
 
Mfano mimi mwenzenu nimeisha hamia kwenye kanisa la jirani na napiga ibada kama kawa!.
P
Bado uko Kurunzinza mkuu?
Ukivuka upande wa pili kulia unijulishe nitakuunga na yale mambo pendwa kwako..ile rangi pendwa na ngoshaz😆
 
Wakristo mna chokochoko sana, mmeshazoea mfumo kristo na utawala wa Kikatili ndio roho zenu kwatu kabisa.

Naona hapa tatizo ni dini yake, angeitwa Elizabeth kila siku mko naye parokiani ndio mngejisikia raha mustarehe.
 
Yote kwa yote ni heri zumaridi kuliko kulola....kuna waumini tuna furaha tu, pamoja na yote
Unishindi Mimi, tupambane kwa nguvu zote na mfumo kristo, inahitajika uwe mtu mzima kuelewa hili hata ukiwa mkristo unatakiwa kuupinga kwa nguvu zote mfumo kristo, ni mfumo wa kishenzi kabisa usiojali utu wa watu.
 
Wakristo mna chokochoko sana, mmeshazoea mfumo kristo na utawala wa Kikatili ndio roho zenu kwatu kabisa.

Naona hapa tatizo ni dini yake, angeitwa Elizabeth kila siku mko naye parokiani ndio mngejisikia raha mustarehe.
Matola, huu uzi umeandikwa na @bujibuji au umeàndikwa na Wakristo?
 
Kanisa litabaki halina kondoo hata mmoja, wao wenyewe wanalijua hilo
 
Unishindi Mimi, tupambane kwa nguvu zote na mfumo kristo, inahitajika uwe mtu mzima kuelewa hili hata ukiwa mkristo unatakiwa kuupinga kwa nguvu zote mfumo kristo, ni mfumo wa kishenzi kabisa usiojali utu wa watu.

Umenena vyema ndugu shemasi.
 
Matola, huu uzi umeandikwa na @bujibuji au umeàndikwa na Wakristo?
Mfumo kristo umewalevya, Mimi ni mkristo tena mkatoliki pure.

Anapotawala Mkristo tena uzuri wote watatu walikuwa wakatoliki na wote wameshakufa huwa mambo ni tofauti na wanaongoza kwa roho mbaya.

Ila akiingia mwislamu na kwa dhati kabisa wameonesha wana utu na ubinadamu lakini mashambulizi ndio hulipuka na waraka mbalimbali za kichungaji hutolewa kwenye awamu hizo.

Kwa damage iliyofanywa na Mkatoliki mwenzetu hii nchi IPO kwenye mikono Salama na iko chini ya Rais sahihi kwa wakati sahihi.

Huu mfumo Kristo ni Sumu unapaswa kupigwa vita na kila anayeipenda nchi hii.
 
Sababu mpo kwenye kitengo cha kuhesabu sadaka na kuratibu misaada ya wafadhili wa kanisa. Sisi tunazungumzia waumini wote kwa ujumla.
Kama ambavyo nanyie mlikua kwenye kitengo cha kutupa watu nje ya kabisa kisa tu hawakuimba mapambio
 
Vp kama ndo mkataba wao unavosema? "Tutamtoa sadaka mfalme aliepo, afu we tutakukabidhi kiti kwa masharti nafuu ya kutokaa kanisani kwako ili sisi wahuni tuongoze kanisa "
Hii ni kwa manufaa yetu na wewe ila si kwa waumin.
 
Mchungaji Yohana.. alikuwa na matatizo yake.. ila mchungaji yohana alikuwa hapend watu wa chini kuumia..

Ila huyu zamaradi mhhhh...
Kwahiyo unambeba mgongoni mmachinga halafu unamchinja tajiri teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…