Mfano mimi ndio baba mkwe wako sasa, hebu nishitakie tabia za mwanangu

Leo ndugu yetu umekamatika
Wengine Sisi sio wale wa kujichanganya sana wa watu mtaani, so kama tukipata mtu mtandaon ambaye unaona anakaribia kuchanganya chemistry unafanya hvy, Huwez kujua usikute ndo mzazi mwenzako umewekewa njia hapo πŸ˜‚

Mambo ya kumuomba Mungu akupe mume/Mke wakati kila anayekuja mbee yako unamkataa n uchizi Sasa huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…