Mfano wa jengo la Chadema makao makuu

Mbona hawakujenga kipindi cha kikwete wakati wana ruzuku na marupurupu kede kede zikiwemo safari za nje, posho za vikao kwenye mashirika ya uma na safari za ikulu?
 
Uzuri ni kwamba hata hao viongozi wao wanajua kama wafuasi wao ni mazamwamwa hawahoji..wao wanachojua ni kukandia tu serikali,sasa hivi washawaandalia vimada wao zile nafasi kule bungeni na ndio maana wanalazimisha.
Maccm nyie ni mataahira kabisa
 
😀Baada ya kusemwa sana

Bado jambo moja... kuwe na ukomo wa awamu ya uongozi.. maximum iwe vipindi viwili vya miaka 5 kwa 5

Siyo kiongozi anakuwa kiongozi wa milele halafu mnahubiri deomokrasia; demokrasia ianze ktk vyama kwanza
Ila mwenyekiti kupatikana kwa kushindana na kivuli ndio demokrasia
 
😀Baada ya kusemwa sana

Bado jambo moja... kuwe na ukomo wa awamu ya uongozi.. maximum iwe vipindi viwili vya miaka 5 kwa 5

Siyo kiongozi anakuwa kiongozi wa milele halafu mnahubiri deomokrasia; demokrasia ianze ktk vyama kwanza
Mtasubiri sana
 
Hata mimi nimewaza hivyo hivyo🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…