Mfano wa mwanaume wa kuigwa katika maisha ya kila siku

kwani kusema ni nini bana japo unamsingizia?
hiyo hua ni mropokaji, hajui kusema.

acha upotoshaji bas,
apigane wapi huyo mtu wa kuelekezwa na mabwenyenye ya magharibi na kufuata mkumbo kama nyumbu?

sema anapigania haki ya ndoa za jinsia moja kwasababu nae yupo ndani ya jamii hiyo 🐒
 
He has nothing to loose.
He's destined for something..

Ila lisu Huwa anakuwa na dark side Moja. He's so egoistic. Hajui aongee wapi na aache wapi.
 
Tuishie hapa maana huna hoja tena mimi nilichosema kumhusu yeye nikitu amefanya kila mtu anajua ameona mapka akakoswa koswa kupelekwa chini ya ardhi kilazima

Je wewe hizo tuhuma za udhalilishaji una uhakika nazo au umeshiwa hoja?
 
Wapo kibao , kina mdude ,kaswahili , soka , Jacob mlay, mzee kibao, Frank mbise na wengine wengi , bila kuwasahau waojeruhiwa na walipoteza maisha 29october.
 
He has nothing to loose.
He's destined for something..

Ila lisu Huwa anakuwa na dark side Moja. He's so egoistic. Hajui aongee wapi na aache wapi.
Toa ushauri ni wapi awe anaongea ni wapi akae kimya
 
Wapo kibao , kina mdude ,kaswahili , soka , Jacob mlay, mzee kibao, Frank mbise na wengine wengi , bila kuwasahau waojeruhiwa na walipoteza maisha 29october.
Asante hao wengine wapumzike kwa amani
 
Tuishie hapa maana huna hoja tena mimi nilichosema kumhusu yeye nikitu amefanya kila mtu anajua ameona mapka akakoswa koswa kupelekwa chini ya ardhi kilazima

Je wewe hizo tuhuma za udhalilishaji una uhakika nazo au umeiahiwa hoja?
sawa ndugu mdau mwenye mihemko na hoja zake,

but ukweli utasemwa daima na upotoshaji utasahihishwa kadiri iwezekanavyo hapa jukwaani bila kuchoka wala kukata tamaa,

kwani wew una uhakika upi kwamba kibaraka alikoswakoswa kupelekwa chini ya ardhi kama sio porojo na upotoshaji useless, wa kutafuta kiki na public sympathy?🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…