maisha hayana extra time, shauri yako,Fursa kwako ?
Eb kwanza π
Hebu toka hapaπ‘maisha hayana extra time, shauri yako,
amua sasa, hujachelewa bado π
Mwashambwa we wenzako kina Baba Levo wanatoboa na hawajawahi kumiliki Magazeti kama yako.yaani awe mamluki na mfuata mkumbo wake right, gentleman?π
π₯π₯π₯Viva Tundu Antipas Mughwai Lisu.
mim siwezi kutoka JF platform huru ya kiTanzania ndugu mdau πHebu toka hapaπ‘
Ni ngumu kwa mtu mwenye kesi ya uhani kua sawa kuanzia mwili mpka saikolojiaNachangia nje ya mambo ya ushabiki wa kisiasa coz hua sipo kwenye mabishano ya kisiasa,
Niliwahi kusema humu,huyu jamaa ana roho ngumu sana,ana ujasiri wa kipekee,
Fikiria wewe hapo una kesi ambayo hukumu yake ni kifo,utakua katika hali gani? ila huyu jamaa anaonekana kama vile hana hata wasiwasi!
Ni wachache sana wenye ujasiri huo.
relax gentleman na uache mihemko nonsense na itapendeza zaidi aise, right?πMwashambwa we wenzako kina Baba Levo wanatoboa na hawajawahi kumiliki Magazeti kama yako.
We ni fala kabisa.
Ushaskia ?
πmim siwezi kutoka JF platform huru ya kiTanzania ndugu mdau π
Unajitahidi kuvaa sura mbili ila ndio vile zinagoma ndugu Lucas .relax gentleman na uache mihemko nonsense na itapendeza zaidi aise, right?π
WE jamaa akili huna,acha siasa za kijingaYes,
ukweli hua ndivyo ulivyo, una kera na kuuma sana ukiwekwa wazi,
lakini ni vizuri usemwe kikamilifu bila woga wala aibu na upokewe kiungwana bila yeyote kuweweseka na kwakweli itapendeza zaidi.
hakuna mwanaume kamili pale ndugu mdau wa maana sana JF π
Mshanza kumtaka TAL ili mumchiti na matukio tu ila wanawake muachane bado anasimamia sauti za wengiKila mwanaume kamili angependa awe na ndugu, kaka, baba au rafiki kama TL.
Na kila mwanamke angependa kuwa na mwanaume, kaka au baba mwenye msimamo kama TL.
Picha Mpya ya Mwanaume
Tundu Antiphas Mughwai Lissuπͺ
View attachment 3594710
ExactlyHata usipokubaliana naye kila kitu, huwezi kubisha kuwa ana misimamo yake na hasimami kwa kuogopa watu.
Bwana Yesu asifiwe MchungajiYesu kwanza wengine wafuate
Heh we kijana umeandika nini hiki?Mshanza kumtaka TAL ili mumchiti na matukio tu ila wanawake muachane bado anasimamia sauti za wengi
Ke ni kiumbe pekee kilizungumza na nyoka lakini bado kinaogopa nyokaHeh we kijana umeandika nini hiki?
Shida ni mimi ke kumsifia ?
SawaπKe ni kiumbe pekee kilizungumza na nyoka lakini bado kinaogopa nyoka