Mfano wa mwanaume wa kuigwa katika maisha ya kila siku

Mwashambwa we wenzako kina Baba Levo wanatoboa na hawajawahi kumiliki Magazeti kama yako.
We ni fala kabisa.
Ushaskia ?
relax gentleman na uache mihemko nonsense na itapendeza zaidi aise, right?πŸ’
WE jamaa akili huna,acha siasa za kijinga
tuliza mihemko useless bas ndugu muerevu mwenye akili kubwa,πŸ’
 
Mimi mzima sadaka nitume kwa no ipi?
Sadaka tuwape watoto wenye uhitaji wasio na makazi wala chakula tule nao,tuwalishe wasio na mavazi,tuwasaidie wagonjwa waliokosa msaada,kati ya hayo naona ni ibada nzuri zaidi
 
Sadaka tuwape watoto wenye uhitaji wasio na makazi wala chakula tule nao,tuwalishe wasio na mavazi,tuwasaidie wagonjwa waliokosa msaada,kati ya hayo naona ni ibada nzuri zaidi
Mchungaji umeruka kihunzi πŸ˜…
Kweli wewe ni mpakwa mafuta πŸ€ͺ
 
Natamani hata niwe hao askari namsindikiza kizimbani huku tunapiga nae story mbili tatu

Like Bro how do u handle this?
Where do you get the courage?
How far will be enough?

Just randomn chart.
 
Tatizo ndio amezaliwa kwenye nchi ya wananchi ambao sio wanaharakati na watawala ambao hawataki raia wenye akili kubwa. He is a victim of his high intelligence capability
Amezaliwa umbumbuni πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…