Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

Kuna mtego alikuwa anakuwekea. Una bahati sana na nakushauri ukimuona siku nyingine usijirahisi hivyo.

Iko siku atakubebesha madawa ya kulevya kama alivyomtumia Rose Muhando
 
Wewe kama ni TAPELI kama Alex Msama tambua kuwa dawa yako inachemka na huwezi kukwepa kikombe anachokunywa Msama.

Masuala ya Polisi na Mahakama watayatatua wenyewe, sisi hayatyhusu
 
Safi sana, kazi nzuri Jerry Silaa. Huyu tapeli anatakiwa kupewa kifungo kabisa sio tu pingu pekee.
Ni vyema akapelekwa mahakamani ili apate haki yake kinyume na hapo bado hakutakuwa na ukweli kinyume chake ni kumvujia haki zake
 
Wewe ni mpumbavu na mshamba mno. Unadhani wauza madawa, magaidi na majambazi wakubwa huwa hawajitoi kwa jamii? Hiyo hela aliyokusaidia wewe ni machozi ya watu wengi sana.
Elewa wewe ni delinquent member wa JF,huu ni mjadala na kila mmoja wetu ana haki ya kuchangia kwa uhuru na elewa we have the right to disagree
 
Mawaziri Jerry Slaa na Dorothy Gwajima wanafanya kazi kwa vitendo, pongezi kwao ikiwa hatua kama hizi zitachukuliwa kwa wakati basi malalamiko ya wananchi yatapungua kama si kuisha.
 
KADA kawa TAPELI? AIBU
 
Ndio kwanza namuona huyu mtu anaishi wapi!
 
Matajiri wa bongi wengi matapeli ,mtu kafa ila unasikia alitapeli watu.
Huyu ukimpangisha tu eneo lako
Lazima ataleta uzushi,kufoji nyaraka atake akudhulumu
Hata ile ofisi yake iliyokuwa block41 kwa kina mzee sheta(rip)
Alitaka kuwaletea figisu wamiliki
Walikuja mtoa
Watu humu wakimtetea basi watakuwa hawamjui

Ova
 
A
Alikua dereva tu Prime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…