Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

Du naona wana JF tumeshamhukumu Mr. Msama,tuangalie upande wa pili wa coin,je waziri kumpeleka suspect police ametumia sheria gani?,je suspect amefunguliwa docket police?je police wameshafanya uchunguzi na kuthibitisha tuhuma dhidi ya suspect?ni vema kama nchi tukaanza kuishi kisheria sio mihemko ya kisiasa,sasa huyu anatakiwa apelekwe kwa court within 48 hrs je police wana kesi dhidi yake?,KATIBA mpya ni muhimu maana walalamikaji wangeweza kwenda kwa PP kutoa malalamiko yao kama police haikuwasikiliza,kitendo hiki cha waziri kwangu ni NO na udhalilishaji,huwezi kumtoa suspect hadharani kabla ya kupanda kwa court
Mkuu ni kweli, tudhiti matapeli na waporaji wa ardhi kwa kufuata utaratibu wa sheria.
 
Nilishasemaga humu huyu jamaa
Ni mzushi sana...
Kwa wanaomjuwa huyu jamaa
Wala hawahangaiki,dili zake issue zake nyingi ni longolongo
Ukifanya naye jambo kulipa napo
Mtihani!
Pale alipopangaga mgahawa wa food point opposite na bestbite
Napo alitaka kumletea usanii mwenye eneo pale,mama yangu mama naniii---kwenye mkataba
Msama sjui alimchukulia poa yule mama,yule mama alipomuhusisha mme wake mtu ambaye tena yuko kwenye mfumo,alimtoa baru msama pale kama mwizi
Huyu msama anajifanya pekee yake anaijuwa hela
Alafu sasa kwa kujifanya mchamungu [emoji1]

Ova
Mama isaka au ?
 
Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dar es Salaam kwa tuhuma za kutapeli viwanja vinne vya Beatrice Mshumbuzi, vinavyokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi milioni 800.

Msama amekabidhiwa kwa polisi leo na Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa.

View attachment 2968425
Nina mashaka sana na hii drama.

People are taking risks to save some other necks in N.eC
 
Tapeli namba 3 Dar es Salaam wa viwanja, huyo Msama amemtapeli sana Rose Mhando na kumuibia sana kwenye nyimbo za Injili, so nitapeli kila kona..!!

Anajifanya mlokole kuficha uovu wake, ila tapeli nyang’au sana huyo jamaa, mara nyingi watu wenye mimacho iko upande ni kuwa nao makini sana, ni tapeli naturally..!!
 
Tapeli namba 3 Dar es Salaam wa viwanja, huyo Msama amemtapeli sana Rose Mhando na kumuibia sana kwenye nyimbo za Injili, so nitapeli kila kona..!! Anajifanya mlokole kuficha uovu wake, ila tapeli nyang’au sana huyo jamaa
msama ndy alimpa stress rose mhando,mpaka akamuingiza
Kwenye matatizo
Kumdhulumu hela

Ova
 
Back
Top Bottom