Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

TRA inabidi iandae short course ya VAT kwa wafanyabiashara, wengi awaielewi.

Inaonekana wengi awadai wanayolipia wakishanunua bidhaa. VAT sio kodi ya mfanyabiashara.
Swala la kodi ni la kitaifa. Inabidi lifundishwe mashuleni ili kuwajengea Watanzania uelewa wa umuhimu wa kulipa kodi na masuala yote ya kikodi yanavyotakiwa kufanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…