Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

Mgogoro unaoendelea ni kwamba wafanyabiashara hawapendi kulipa kodi kama zile wanazolipishwa wafanyakazi kwa jina la PAYE.

Serikali kama inawasikiliza wafanyakazi basi iwasikilize wafanyakazi pia.
Sawasawa
 
1. Bill of landing inaorodha ya mizigo yote ndani ya container, so unapata total ya kodi zote kama ni different products zinapigwa kodi tofauti.
(i ) mwagizaji ana option ya kushare copy ya hiyo receipt kwa kila mtu kuonyesha mzigo wake uliingia na container lipi ili akadai VAT yake huko mbele.
(ii) kuondoa hizo kero huyu shipper awaagizie na atoe; ila awacharge bei ya kununulia, jumlisha + import duty + VAT (alizolipia bandarini) akishatoa na kuwapa receipt kama wamenunua kwake and value chain starts from there awa retailers wanaweza kwenda kudai VAT wakishauza na wao kama wanesajiliwa, everything is legal and can be traced.

2. Ukishanunua bidhaa halafu wewe ndio final user i.e nyanya, nyama, vitunguu na vinginevyo; uruhusiwi kudai VAT wewe ndio final user unatengenezea product nyingine.

3. Same thing kwenye ujenzi wewe ndio final user wa hizo products; unless sheria inaruhusu baadhi ya manunuzi specifically kwa wakandarasi kudai VAT and if that’s the case commonsense ni kutafuta mtu anaekutoza VAT kama unataka ku claim.
 
Somo la kodi lingeanzia chini kabisa primary huko.
Kama hujasoma mambo ya uhasibu na uchumi mambo ya kodi yanakupita kushoto, matokeo yake ukiingia uraiani mambo unakuta vururu kabisa yaani tofauti na mategemeo yako.
Ni sahihi, lakini kodi zimezidi mno, kila kona kodi alafu unalipia kitu kimoja. Ni vyema kungekuwa na mfumo mmoja, ukilipa hapo basi. Sheria zetu pia zilekebishwe zinaleta mazingira ya Rushwa.
 
Hiyo ni kero au siasa? Hapa Chadema wamechomeka watu wao Kwa mlango wa kero za biashara..

Mtu anasema eti kama Wabunge hawaheshimu itakuwa sie watu wa kawaida?
Mwigulu na watu wa TRA kukiuka taratibu inahusikaje?
 
Aaaaah....Kumbe ndivyo Auntie?
Basi nikajua ndiyo huyo wa kwa Millard...
Halafu huyo wa Vitenge Kariakoo ni maarufu sana..
Sanaaaa kuna kipindi mwaka jana nahisi alikamatwa na kupewa kesi ya kuhujumu uchumi
 
Ismal Masoud Tanga: Walioiba fedha za Umma wasomewe Albadir!!!!!
 
kwani hapa tunaongelea tatizo au tunaongelea way forward zitakazo tatua tatizo la waagizaji wa mizigo kwa less than container?
 
kwani hapa tunaongelea tatizo au tunaongelea way forward zitakazo tatua tatizo la waagizaji wa mizigo kwa less than container?
Sio ww uliyesema kuwa ukiwa na mzigo bila risiti ni mkwepa kodi? Kama ndiye na unajua kuwa inawezekana kuwa na mzigo bila risiti sababu ya mfumo basi hukupaswa kusema hivyo.

Anyways kama ni way foward unaongelea upo sawa. Inawezekana kabisa kutatua hilo na litatatulika. Kuna kamati imeundwa naamini watalitazama.
 
Mmoja kaomba namba ya waziri mkuu...
Kwa mara ya kwanza leo ndo nimejua
Muongeaji anasema au wakadange ?sasa hawa ndo waongeaji wao??
Unafanya kazi TRA.


HIVI TUKIWAPIMA MAENDELEO MLIYONAYO NA MISHAHARA YENU VINALINGANA??

KUWENI NA HURUMA, BIHASHARA NI NGUMU.

JUST IMAGINE MTU ANASHINDIA UKOKO DUKANI THEN UNAKUJA KUMWOMBA RUSHWA YA MILIONI 4 KISA KASAHAU, AU KAACHA MAKSUDI KUTOA RISITI YA AFU TATU??

ANYWAY MTAKUFA VIBAYA NYIE
 
Mwigulu ni arrogant sana.Vile alianzisha betting company,alifuta kodi kwenye betting company. Mwigulu hafai kuwa waziri.
Tuache
 

Attachments

  • IMG-20230517-WA0002.jpg
    49.5 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…