Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

Kwamba biashara anafanya vunja bei tu wengine wanacheza pale kariakoo?
Sasa mtu analalamika dampo, sijui ajalipwa na halmashauri kazi yake hayo mambo ya TRA. Au unalalamika taka sasa ulitaka nani akubebe bure uchafu wako.

Walau ulitegemea mtu elimu kidogo kama Vunjabei anaweza kuwa na point za msingi mpaka wamerudisha mwishoni sijasikia la maana kutoka kwake anyway.
 
Mh Kasim Majaliwa Majaliwa (Mbunge na Waziri Mkuu). Mimi ni miongoni mwa wafanyabiashara hapa Kariakoo. Naomba niseme kuhusu suala la Stoo. Kwa Imani yangu nasema Stoo ni sehemu ya maficho ya bidhaa za magendo. Hatulipii ushuru. Mkiruhusu hiyo sheria kufanya Kodi, stoo tunaficha mpaka miili ya binadamu ushahidi upo. PM usiingilie pupa suala la Stoo ni kebini ya Uhalifu. Nimetoka kuongea hapo.
 
Uyo vunja bei ni mwenzao ccm uyo hawez ongea lolote
 
Kuna point kaongea nzuri tu. Mfano ya kiwango cha utunzaji wa kumbukumbu na VAT kwa mtaji wa m100 uangaliwe.
 
Nimezipenda spana za Fred vunjabei...

Mwenye anaweza ku cut atuwekee hapa Kwa faida ya UMMA 🤓😊

Huwa nikimwona Fred vunjabei nikama namwoma Brother Ake Fadhili.....
 
Hili halipaswi kuwa swala la TRA sasa.

Bali swala la Polisi na wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…