BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Tanga nae ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Kwa namna gani katiba mpya itakusaidia?Kwa Sababu utakuwa katiba IPO na wanasiasa Wanavunja Tu kama kawaida...Ccm haiwasikilizi wananchi au wapigakura kwasababu hawategemei kura, bali hushinda uchaguzi kwa mbinu na mabavu.
..Serikali, wabunge, wakiwa wanapatikana kutokana na kura na uchaguzi wa haki basi utaona viongozi wanawasikiliza na kuwashirikisha wananchi ktk maamuzi mbalimbali.
..Katiba Mpya, Tume Huru ya Uchaguzi, wananchi wanaojielewa na kutambua haki zao, ndio suluhisho.
Mkuu umemsikia Vunja Bei Jamaa anaongea madini Kama wewe.kwa uzoefu wangu mdogo kwenye biashara.. Kodi huwa ni zile zile, ila biashara faida na hasara pamoja na mzunguko huwa haupo vile vile.. TRA kuna nafasi ya kukaa nao chini na hata kufanya makubalinao ( na ndio hapa wanafungua mwanya wa kukunyoosha sasa ).
Kwa hiyo wameishi kwa maumivu kwa miaka yote 2?Wangegomaje wakati bado raisi ni mpya na hivyo kuna hatua za kufanya kabla ya kufikia mgomo?
Unafikiri mgomo unaanza tu kwasababu ya matakwa ya watu?
Mgomo kuufikia ni baada ya kufanya taratibu zote za kidemokrasia ikiwa ni pamoja na kuwaita viongozi kuwaomba watunge sheria mpya ambayo itakuwa fair.
Na hilo wamelisema kuwa waliwafikishia viongozi malalamiko yao ila baada ya kuona hakuna utekelezaji wakaamua wagome
Sasa utawala wa Magufuli nani angethubutu kugoma eti kwakua viongozi wamepuuza maombi yao?
Matatizo Mengi kayaleta MwendazakeKwa hiyo wameishi kwa maumivu kwa miaka yote 2?
Basi wasingemlaumu Mwigulu namna hiyo bali wangemlaumu sana Mpango
𝐁𝐀𝐊𝐈𝐓𝐀 𝐅𝐀𝐍𝐘𝐈𝐄𝐍𝐈 𝐊𝐀𝐙𝐈 𝐇𝐀𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐓𝐔Hapa sasa akili zimekurudia mzee wa SIMBA GUVU MOYAAA
Mmeanza''Tupate Mama Kwenye hii ili awakilishe kina Mama....Mama Bonge ahaaaah'' - Mh Waziri Mkuu
Wewe unauza Nini kwanisio muuza mifuko wa Kariakoo anaropoka tu.
Kwa kiongozi yeyote anayefuata demokrasia hilo linawezekanaHakuna mwanasiasa anayeweza kuwazuia wafanyabiasha wakigoma Kwa Sababu ya unyeti wao na matatizo mengi ya Kodi na tozo yametokea ndani ya serikali hii.
Jamani. Inclusion ni imezingatiwa pia. Mama Bonge anawakilisha wanawake wafanyabiasharaMmeanza
Wanachaguliwa watu smart tu na sio jinsia
Nilisikia mamako amefungua nchi..Matatizo Mengi kayaleta Mwendazake
Sijafanikiwa msikiliza mkuu, nipo hapa nafatilia comment.Mkuu umemsikia Vunja Bei Jamaa anaongea madini Kama wewe.
Umeliona la Kenya?Hii nchi ya ajabu sana. Yaani Kenya soda bei rahisi kuliko Tanzania
Hakuna Rais aliyekuwa anawasikiliza watanzania kama Magufuli ni manyumbu wachache mmeaminishwa hivyoKwa kiongozi yeyote anayefuta demokrasia hilo linawezekana
Dikteta hiyo nafasi hakupi
Kwanini mnunuzi akanunue kwenye VAT iwapo bidhaa hiyo hiyo inauzwa na asiye na VAT jirani hapo? Watu wanaogopa kufika M100 hawatoi risiti sababu ya hichi kitu ukiachilia mbali gharama za kutunza mahesabu.Hakuna utofauti wowote wa faida. VAT unalipa wewe?
Unajua kweli hiyo VAT kiongozi wangu?