DOKEZO Mfanyabiashara maarufu Arusha aibiwa Tsh. Milioni 100 kwenye akaunti ya Benki ya NMB

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Inaonesha huo ni Mchongo wa watu wengi. Wanajipanga kurejesha
 
NMB ni wezi wakubwa, kijana wangu aliibviwa 100,000 Tsh kutoka akaunti yake
 
Wafanyakazi wengi wa Bank ni makanjanja sijui kwanini
Huwa hawajali mteja kabisa
Unaweza kuambiwa hela zimepungua kumbe kaiba tayari
Bora nikaweke Amana hela zangu

Yaani na bank bado wanamsitiri mwizi kwa kuweka jina moja tu kama hawamjui
Jina moja linatumika zaidi labda kwa watu wanaofanya kazi ngumu kwa kujiajiri ila sio mfanyakazi wao

Hapo ndio tunafeli wabongo kufichiana uchafu
 
 
Aiseeee, vipi hakuwalipua kwenye media?
 
Ndiyo maana mimi naamini wasimamizi wa mirathi hupewa taarifa za uongo na benki kuhusu pesa walizoacha marehemu hasa wale wa fixed.
Mimi nimewahi kuwa msimamizi wa mirathi ya ndugu yangu mmoja aliyekuwa mtumishi wa serikali. Wakati familia yake wakiamini kwenye akaunti yake, ambayo pia ilikua inapitishia mshahara, ina salio la kutosha, nilishangaa nilipofika kwenye hiyo bank yake nikaambiwa balance inasoma zerooo!! [emoji12]
 
Inakuwaje pesa zichomolewe asipewe taarifa kwa ujumbe mfupi? Au huyo jamaa alifanya yake zikitolewa asipate taarifa?
NMB wana shida sana, inaonesha mfumo wao wa kielektroniki unaotuma ujumbe kwa mwenye akaunti ni wa hovyo kiasi kwamba mfanyakazi wa hiyo bank anaweza kuuchezea anavyotaka.

Nimewekeza pesa kwenye hii bank, ila cha ajabu muda wa gawio ukifika pesa zinaingia kimya kimya.
Nimeshawalalamikia sana na kuwaambia huo utaratibu ni mwanya wa wizi, wakaziba masikio....yametimia!
 
Inakuwaje pesa zichomolewe asipewe taarifa kwa ujumbe mfupi? Au huyo jamaa alifanya yake zikitolewa asipate taarifa?
Inakuwaje pesa zichomolewe asipewe taarifa kwa ujumbe mfupi? Au huyo jamaa alifanya yake zikitolewa asipate taarifa?
Huwa wanaondoa hupati sms yoyote

Benki nazo sio za kuamini Sana hasa
Nmb na Crdb hizo benki sina imani nazo kabisa hasa Crdb.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…