Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Watu wana pesa sana wenyeji wa masasi mjini watakuwa wanamfahamu marehemu Chidi boy huyu mwamba alikuwa na pesa ndefu sana wakati kama huu wa mbaazi wengi walikuwa wanaenda kwake anakupa mpaka milion 50 unaenda kukomaa nayo shambani ukishapata mzigo wa mbaazi ni hiyari yako umuuzie yeye chidi au usafirishe upeleke dar pale biasi na hata ukikataa kumuuzia yeye chidi wala hana nomaPesa haina adabu aisee