Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NMB🖐Mbona kesi rahisi sana hiyo bank wanapaswa walipe haraka kanuni ya vicarious liability bank hawachomoki. Kama mna shida kisheria semeni niwasaidie
Inaonesha huo ni Mchongo wa watu wengi. Wanajipanga kurejeshaMfanyabiashara maarufu katika mikoa ya Arusha ,dar na Dodoma Joseph Kalugendo mkazi wa Moshoni jijini Arusha,ameibiwa fedha zake zaidi ya milioni 100 katika benki ya NMB tawi la Clock Tower Arusha na mtumishi wa benki hiyo.
Taarifa ambazo zimethibitishwa na Mfanyabiashara huyo amedai kuwa siku za usoni alienda katika benki hiyo kwa ajili ya kuchukua fedha ndipo alipopigwa na butwaa kukuta kitita hicho hakipo.
Meneja wa benki hiyo kanda ya kaskazini PRAYGOD MPHURU alipohojiwa alikiri kuwepo kwa tukio hilo akidai tayari wamemsimamisha kazi mfanyakazi wao SAMWELI na kwamba suala hilo linafanyiwa kazi na kuomba suala hilo lisitangazwe.
Joseph ambaye hufanya biashara za bar na kusambaza vyakula kwenye kambi za jeshi anadaiwa kulundika kiasi hicho cha fedha kwa muda mrefu bila kutoa kiasi kwamba mfanyakazi huyo aliona huenda anayeimiliki alishakufa na kuanza kuchomoa kidogo kidogo na kufikia zaidi ya sh,milioni 100.
Hata hivyo baada ya taarifa hizo kubainika uongozi wa benki ulifanya kikao kizito na kubaini kwamba mfanyakazi wao aliyefahamika kwa jina moja la SAMWELI ndie aliyehusika na wizi huo kwa kuchomoa fedha hizo kidogo kidogo hadi kufikia hicho cha fedha .
Uongozi wa benki hiyo tayari umemsimamisha kazi lakini suala hilo bado lipo kimya huku Mfanyabiashara huyo akilalamikia hatima ya fedha zake maana benki hiyo kuwa kimya na haimpi jibu linaloeweka namna ya kurejeshewa.View attachment 2714317
NMB ni wezi wakubwa, kijana wangu aliibviwa 100,000 Tsh kutoka akaunti yakeMfanyabiashara maarufu katika mikoa ya Arusha ,dar na Dodoma Joseph Kalugendo mkazi wa Moshoni jijini Arusha,ameibiwa fedha zake zaidi ya milioni 100 katika benki ya NMB tawi la Clock Tower Arusha na mtumishi wa benki hiyo.
Taarifa ambazo zimethibitishwa na Mfanyabiashara huyo amedai kuwa siku za usoni alienda katika benki hiyo kwa ajili ya kuchukua fedha ndipo alipopigwa na butwaa kukuta kitita hicho hakipo.
Meneja wa benki hiyo kanda ya kaskazini PRAYGOD MPHURU alipohojiwa alikiri kuwepo kwa tukio hilo akidai tayari wamemsimamisha kazi mfanyakazi wao SAMWELI na kwamba suala hilo linafanyiwa kazi na kuomba suala hilo lisitangazwe.
Joseph ambaye hufanya biashara za bar na kusambaza vyakula kwenye kambi za jeshi anadaiwa kulundika kiasi hicho cha fedha kwa muda mrefu bila kutoa kiasi kwamba mfanyakazi huyo aliona huenda anayeimiliki alishakufa na kuanza kuchomoa kidogo kidogo na kufikia zaidi ya sh,milioni 100.
Hata hivyo baada ya taarifa hizo kubainika uongozi wa benki ulifanya kikao kizito na kubaini kwamba mfanyakazi wao aliyefahamika kwa jina moja la SAMWELI ndie aliyehusika na wizi huo kwa kuchomoa fedha hizo kidogo kidogo hadi kufikia hicho cha fedha .
Uongozi wa benki hiyo tayari umemsimamisha kazi lakini suala hilo bado lipo kimya huku Mfanyabiashara huyo akilalamikia hatima ya fedha zake maana benki hiyo kuwa kimya na haimpi jibu linaloeweka namna ya kurejeshewa.View attachment 2714317
Mfanyabiashara maarufu katika mikoa ya Arusha ,dar na Dodoma Joseph Kalugendo mkazi wa Moshoni jijini Arusha,ameibiwa fedha zake zaidi ya milioni 100 katika benki ya NMB tawi la Clock Tower Arusha na mtumishi wa benki hiyo.
Taarifa ambazo zimethibitishwa na Mfanyabiashara huyo amedai kuwa siku za usoni alienda katika benki hiyo kwa ajili ya kuchukua fedha ndipo alipopigwa na butwaa kukuta kitita hicho hakipo.
Meneja wa benki hiyo kanda ya kaskazini PRAYGOD MPHURU alipohojiwa alikiri kuwepo kwa tukio hilo akidai tayari wamemsimamisha kazi mfanyakazi wao SAMWELI na kwamba suala hilo linafanyiwa kazi na kuomba suala hilo lisitangazwe.
Joseph ambaye hufanya biashara za bar na kusambaza vyakula kwenye kambi za jeshi anadaiwa kulundika kiasi hicho cha fedha kwa muda mrefu bila kutoa kiasi kwamba mfanyakazi huyo aliona huenda anayeimiliki alishakufa na kuanza kuchomoa kidogo kidogo na kufikia zaidi ya sh,milioni 100.
Hata hivyo baada ya taarifa hizo kubainika uongozi wa benki ulifanya kikao kizito na kubaini kwamba mfanyakazi wao aliyefahamika kwa jina moja la SAMWELI ndie aliyehusika na wizi huo kwa kuchomoa fedha hizo kidogo kidogo hadi kufikia hicho cha fedha .
Uongozi wa benki hiyo tayari umemsimamisha kazi lakini suala hilo bado lipo kimya huku Mfanyabiashara huyo akilalamikia hatima ya fedha zake maana benki hiyo kuwa kimya na haimpi jibu linaloeweka namna ya kurejeshewa.View attachment 2714317
Nilishawatukana siku moja mpaka meneja wao nikawaita wote majiziNMB ni wezi wakubwa, kijana wangu aliibviwa 100,000 Tsh kutoka akaunti yake
Aiseeee, vipi hakuwalipua kwenye media?FNB walishawahi mfanyia jamaa yangu hivyo hivyo kumchomolea pesa kibao kwenye account yake ya USD. Jamaa alikuwa kifungoni nje ya nchi. Alipotoka kaibuka kudai mpunga wake, mavi yaliwagonga chupi maana kipindi cha kifungo walimzungusha sana mkewe katika kufuatilia pesa.
Walimpa fidia ya 35% juu ya kile kiasi kilichopigwa kwa ombi kwamba asitangaze wala kwenda kwenye vyombo vya sheria. Baada muamala kusoma tu, jamaa akafunga na account yenyewe.
Mimi nimewahi kuwa msimamizi wa mirathi ya ndugu yangu mmoja aliyekuwa mtumishi wa serikali. Wakati familia yake wakiamini kwenye akaunti yake, ambayo pia ilikua inapitishia mshahara, ina salio la kutosha, nilishangaa nilipofika kwenye hiyo bank yake nikaambiwa balance inasoma zerooo!! [emoji12]Ndiyo maana mimi naamini wasimamizi wa mirathi hupewa taarifa za uongo na benki kuhusu pesa walizoacha marehemu hasa wale wa fixed.
NMB wana shida sana, inaonesha mfumo wao wa kielektroniki unaotuma ujumbe kwa mwenye akaunti ni wa hovyo kiasi kwamba mfanyakazi wa hiyo bank anaweza kuuchezea anavyotaka.Inakuwaje pesa zichomolewe asipewe taarifa kwa ujumbe mfupi? Au huyo jamaa alifanya yake zikitolewa asipate taarifa?
Baada ya pesa yake kurudi hakuona haja ya majibizano. Japo walitaka kumuwekea ngumu kufunga account ghafla. Alipotishia kushirikisha wanasheria wake process ilifanywa kwa wepesi sana.Aiseeee, vipi hakuwalipua kwenye media?
Inakuwaje pesa zichomolewe asipewe taarifa kwa ujumbe mfupi? Au huyo jamaa alifanya yake zikitolewa asipate taarifa?
Huwa wanaondoa hupati sms yoyoteInakuwaje pesa zichomolewe asipewe taarifa kwa ujumbe mfupi? Au huyo jamaa alifanya yake zikitolewa asipate taarifa?