MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Hapo NDIO kwenye mkwamo Sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo NDIO kwenye mkwamo Sasa
Benki ya posta wametembea na shekeli za faza yangu, Mungu anawaonaNi kweli. Kuna kesi nyingi za warithi kudhulumiwa na kudanganywa kuhusu kiasi cha fedha kilichokuwa kwenye account ya marehemu.
Binafsi mzee wangu alikuwa anafanya shughuli zake na alikuwa anaweka fedha benki pia Alikuwa mstaafu so alikuwa analipwa Pension yake via NMB. Mwaka ambao mzee alifariki, alivuna mpunga na akauza gunia zaidi ya 500 ambazo alipeleka benki. Baada ya kufariki na tulikaa muda mrefu kupata utaratibu wa mirathi kwenda benki tunaambiwa mzee alikuwa na laki saba tu benki.
Hushpuppi $4,000 angeona unamsumbua tu, hata hela ya kununua Champagne inakuwa haijafika bado.Alikuwa anapita mule-mule !!! Sema yeye alikuwa anapiga parefu !!!
Ujanja wake wote Hushpuppi kaenda ku boogie kwenye kujionesha mitandaoni tu..... (This was his GRAVE MISTAKE !!!)Hushpuppi $4,000 angeona unamsumbua tu, hata hela ya kununua Champagne inakuwa haijafika bado.
Ila Wamarekani nuksi, walikuwa wanajua birthday yake real, kwa sababu alishawahi kuomba visa ya US wakamkatalia, lakini data zake walikuwa nazo.
Sasa, wakawa wanamshuku kuwa huyu ndiye Hushpuppi, wakawa na ushahidi kibao, ila hawana uhakika.
Uhakika waliupata walivyomuona mitandaoni anasherehekea birthday yake siku ile ile aliyoiandika kama birthday yake kwenye kuomba visa ya US.
Wakamdaka. Ujanja wake wote Hushpuppi kaenda ku boogie kwenye kujionesha mitandaoni tu.
Angekuwa mtu wa kimyakimya huenda angewapiga sana tu.
Lakini sasa yeye labda point yake yote ya kuwapiga ni ili ajioneshe awatese watu wamuone ana hela.
In which case kupiga hela kubwa halafu kuishi maisha ya kujificha ingekuwa kama hakuna maana hivi.
Sasa yeye point yake kubwa ya kutaka kupiga ni ili aje kuwatambia nyie, kupiga bila kutamba mitandaoni aliona kama haina maana.Ujanja wake wote Hushpuppi kaenda ku boogie kwenye kujionesha mitandaoni tu..... (This was his GRAVE MISTAKE !!!)
Hao air money ni majizi mpaka ya mabando unanunua mb 245 unashangaa unatumia mb 50 itakuwa helaKuna kisa kimoja kilinipa maswali sana.
Kuna shangazi yangu mmoja Huwa yuko kijijini ana shughuli zake za kilimo. Sasa kuna kiwanja chake kilikuwa Morogoro maeneo ya ifakara, Binti yake akakiuza. Akamwambia binti yake Mil 1 amuwekee kwenye simu yake na laki 5 amuwekee bank. Sasa ile ya kwenye simu ilikaa zaidi ya mwaka hajaigusa.
Sasa siku ya siku ameenda 'center' kwa wakala kutoa laki 1, inagoma. Kumpa wakala anamuambia 'mama mbona hii line haijasajiliwa ....money?' Shangazi akamuonyesha message ya muamala wa kupokea Mil 1. Kuwapigia Call center, wanamuambia hajawahi jiunga 'air...money'. Ikabidi aende wilayani duka la huduma kwa wateja, nao wakawa na jibu hilo hilo. Alisumbukia week nzima; ulokole wake akaamua muachia Mungu tu.
Nimekuja learn hili tukio baada ya Mwezi, kuna jamaa yangu yukn kwenye mitandao, akaniambia hiyo issue imepigwa na watu juu wa mtandao huo.
Walitakiwa waonyeshe mtririko wa hiyo acc yake bila hivyo hao ni wezi,ngewafungulia kesiNi kweli. Kuna kesi nyingi za warithi kudhulumiwa na kudanganywa kuhusu kiasi cha fedha kilichokuwa kwenye account ya marehemu.
Binafsi mzee wangu alikuwa anafanya shughuli zake na alikuwa anaweka fedha benki pia Alikuwa mstaafu so alikuwa analipwa Pension yake via NMB. Mwaka ambao mzee alifariki, alivuna mpunga na akauza gunia zaidi ya 500 ambazo alipeleka benki. Baada ya kufariki na tulikaa muda mrefu kupata utaratibu wa mirathi kwenda benki tunaambiwa mzee alikuwa na laki saba tu benki.
Utauliza wewe umepata wapi hii taarifaMfanyabiashara maarufu katika mikoa ya Arusha, Dar na Dodoma Joseph Kalugendo mkazi wa Moshoni jijini Arusha, ameibiwa fedha zake zaidi ya milioni 100 katika benki ya NMB tawi la Clock Tower Arusha na mtumishi wa benki hiyo.
Taarifa ambazo zimethibitishwa na Mfanyabiashara huyo amedai kuwa siku za usoni alienda katika benki hiyo kwa ajili ya kuchukua fedha ndipo alipopigwa na butwaa kukuta kitita hicho hakipo.
Meneja wa benki hiyo Kanda ya Kaskazini Praygod Mphuru alipohojiwa alikiri kuwepo kwa tukio hilo akidai tayari wamemsimamisha kazi mfanyakazi wao Samweli na kwamba suala hilo linafanyiwa kazi na kuomba suala hilo lisitangazwe.
Pia vigogo wa benki hiyo kwa sasa wanahaha kutafuta mchawi aliyetoa taarifa hizo kwa waandishi wa habari na tayari baadhi ya wafanyakazi wameitwa na kuhojiwa juu ya taarifa hizo za ndani kufika kwa wanahabari
Joseph ambaye hufanya biashara za bar na kusambaza vyakula kwenye kambi za jeshi anadaiwa kulundika kiasi hicho cha fedha kwa muda mrefu bila kutoa kiasi, na kwamba mfanyakazi huyo aliona huenda anayeimiliki alishakufa na kuanza kuchomoa kidogo kidogo na kufikia zaidi ya Tsh. Milioni 100.
Hata hivyo baada ya taarifa hizo kubainika uongozi wa benki ulifanya kikao kizito na kubaini kwamba mfanyakazi wao aliyefahamika kwa jina moja la Samweli ndiye aliyehusika na wizi huo kwa kuchomoa fedha hizo kidogo kidogo hadi kufikia hicho cha fedha.
Uongozi wa benki hiyo tayari umemsimamisha kazi lakini suala hilo bado lipo kimya huku Mfanyabiashara huyo akilalamikia hatima ya fedha zake, maana benki hiyo kuwa kimya na haimpi jibu linaloeweka namna ya kurejeshewa.
Exim ni majanga arusha watu walipigwa zaidi ya 5bn...na kesi wajashindwa wamelipaLeo ndio nimegundua kwa nini shule za private nyingi zinapenda kuwa na akaunti katika benki za kutoka mfano Exim!
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ni kweli ndugu yangu Dola 4000 wanaona ndogoHushpuppi $4,000 angeona unamsumbua tu, hata hela ya kununua Champagne inakuwa haijafika bado.
Ila Wamarekani nuksi, walikuwa wanajua birthday yake real, kwa sababu alishawahi kuomba visa ya US wakamkatalia, lakini data zake walikuwa nazo.
Sasa, wakawa wanamshuku kuwa huyu anayepiga watu mitandaoni ndiye Hushpuppi, wakawa na ushahidi kibao, ila hawana uhakika.
Uhakika waliupata walivyomuona mitandaoni anasherehekea birthday yake siku ile ile aliyoiandika kama birthday yake kwenye kuomba visa ya US.
Wakamdaka. Ujanja wake wote Hushpuppi kaenda ku boogie kwenye kujionesha mitandaoni tu.
Angekuwa mtu wa kimyakimya huenda angewapiga sana tu.
Lakini sasa yeye labda point yake yote ya kuwapiga ni ili ajioneshe awatese watu wamuone ana hela.
In which case kupiga hela kubwa halafu kuishi maisha ya kujificha ingekuwa kama hakuna maana hivi.
Huyu ombeni ni huyu mkazi wa kiboriloni juu ya kanisa au siyo yeye mkuuOngezea hapo:
1. Kilimanjaro Cooperative bank iko huko Kilimanjaro( ombeni, Kingazi, makwebe) wapo magereza / wafungwe tu.
2. Akiba bank
3. Azania Bank ( kulikuwa na kijizi kimoja kinaitwa Swai, mtumishi wa Azania).
3. Saccos zote ni wezi wa mchana kweupe na wanashirikiana na mabank)
Mimi nimewahi kuwa msimamizi wa mirathi ya ndugu yangu mmoja aliyekuwa mtumishi wa serikali. Wakati familia yake wakiamini kwenye akaunti yake, ambayo pia ilikua inapitishia mshahara, ina salio la kutosha, nilishangaa nilipofika kwenye hiyo bank yake nikaambiwa balance inasoma zerooo!! [emoji12]
Unakuta Samuel alienda likizo ndio bomb likalipukaMfanyabiashara maarufu katika mikoa ya Arusha, Dar na Dodoma Joseph Kalugendo mkazi wa Moshoni jijini Arusha, ameibiwa fedha zake zaidi ya milioni 100 katika benki ya NMB tawi la Clock Tower Arusha na mtumishi wa benki hiyo.
Taarifa ambazo zimethibitishwa na Mfanyabiashara huyo amedai kuwa siku za usoni alienda katika benki hiyo kwa ajili ya kuchukua fedha ndipo alipopigwa na butwaa kukuta kitita hicho hakipo.
Meneja wa benki hiyo Kanda ya Kaskazini Praygod Mphuru alipohojiwa alikiri kuwepo kwa tukio hilo akidai tayari wamemsimamisha kazi mfanyakazi wao Samweli na kwamba suala hilo linafanyiwa kazi na kuomba suala hilo lisitangazwe.
Pia vigogo wa benki hiyo kwa sasa wanahaha kutafuta mchawi aliyetoa taarifa hizo kwa waandishi wa habari na tayari baadhi ya wafanyakazi wameitwa na kuhojiwa juu ya taarifa hizo za ndani kufika kwa wanahabari
Joseph ambaye hufanya biashara za bar na kusambaza vyakula kwenye kambi za jeshi anadaiwa kulundika kiasi hicho cha fedha kwa muda mrefu bila kutoa kiasi, na kwamba mfanyakazi huyo aliona huenda anayeimiliki alishakufa na kuanza kuchomoa kidogo kidogo na kufikia zaidi ya Tsh. Milioni 100.
Hata hivyo baada ya taarifa hizo kubainika uongozi wa benki ulifanya kikao kizito na kubaini kwamba mfanyakazi wao aliyefahamika kwa jina moja la Samweli ndiye aliyehusika na wizi huo kwa kuchomoa fedha hizo kidogo kidogo hadi kufikia hicho cha fedha.
Uongozi wa benki hiyo tayari umemsimamisha kazi lakini suala hilo bado lipo kimya huku Mfanyabiashara huyo akilalamikia hatima ya fedha zake, maana benki hiyo kuwa kimya na haimpi jibu linaloeweka namna ya kurejeshewa.
Barclays pia kuna mwana aliikula milioni 300 alikuwa ameimaliza yote kwenye Bata alipokamatwa alikuwa hana hata hela ya mawakili.Tulimsaidia tulikuwa hatujui mwenzetu hela anapata wapi. Yaani tulishangaa hela yote huo hana hata kiwanja hata shamba.Nakumbuka kuna dada alikua Barclays ila ana miaka kadhaa sasa amefariki. Alipiga pesa million 500. Na ni binti wa familia bora sana. Na ni vigogo wa serikali humo. Kama sikosei alisoma chuo uingereza.
Ile account haikutumika muda sana. Basi wakafoji, akatengenezwa mtu akaja akasema anataka kujua akaunt yake na pesa ila amesahau password. Basi marehem akachezesha game mlolongo mzima ukapita. Jamaa akaambiwa akaingize finger print upya. Kitu kikajibu. Mil 500 ikasombwa. Dada mwenyewe alikua mtu wa bata sana. Hakuna cha maana hivyo. Kwanza always alikua na madeni. Najua lazima munamjua. Sitaki kutaja jina lake ama waliokua wana associate nae karibu kazini.
Hamad. Mwenye akaunt akaja. Hakuamini kilichotokea ktl akaunt yake. Basi tena bank ikawa responsible na bibie akawa na kesi hata sielewi iliishia wapi lkn alikua mtaani later
Pumzika kwa amani mla bata wetu
Samweli alikua anachukua kidogo kidogo sasa hivi hana hata miaSamuel kama unasoma hii comment
NITAFUTE NKUPELEKE KWA MTAALAM HIO KESI ITASAHAULIKA KABISA
Samuel sasa ni Samweli Macmuga alafu unakuta kaiba 10 au 20M kichwa kinamuuma kuambiwa 100MSamweli alikua anachukua kidogo kidogo sasa hivi hana hata mia
Hahahaha balaa sana. Yaan ulimbukeni qa kupata pesa nyingi kwa ghafla lazima upagawrBarclays pia kuna mwana aliikula milioni 300 alikuwa ameimaliza yote kwenye Bata alipokamatwa alikuwa hana hata hela ya mawakili.Tulimsaidia tulikuwa hatujui mwenzetu hela anapata wapi. Yaani tulishangaa hela yote huo hana hata kiwanja hata shamba.