reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Wee ACHA tu Hapa Salio linasoma 164[emoji1][emoji1]baada ya kuchekiTajiri mpk anaibiwa alikuwa wapi? Wenye laki kila saa tunachungulia account [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee ACHA tu Hapa Salio linasoma 164[emoji1][emoji1]baada ya kuchekiTajiri mpk anaibiwa alikuwa wapi? Wenye laki kila saa tunachungulia account [emoji23][emoji23][emoji23]
Hongeraa brother wenzetu Huko wanajua maana ya kulinda brand na kutunza reputation Yao,bongo wanajua hakuna madhara yoyote Yale yatawakuta kisheria na hata kitaswira YaoBenki za kibongo siziamini.
Mimi mwenyewe kuna rafiki yangu mpaka sasa anakimbizana na watu wa benki moja kubwa Bingo iliyopata tuzo hivi karibuni, kuna kama milioni 250 zake hazijulikani zilipo.
Maafisa wa usalama wa benki badala ya kuona aibu na kufanya kazi kuzirudisha, wanafanya uchunguzi mwezi wa 6 huu.
By comparison, more than 10 years ago, mimi nilishawahi kuibiwa $4,000 Citibank. Kuna jamaa walipata details zangu wakachonga kadi, wakatoa hela Dubai.
Citibank walikuwa so embarassed, niliwapigia simu Alhamisi, Jumatatu hela zikawa zimerudi tayari.
Walichofanya ni kuniuliza tu kuhakiki kama nimempa mtu kadi yangu na pin number. Nikasema sijampa. Wakaniuliza kama nimetoka nje ya Marekani wakati huo, nikasema sijatoka. Wakaangalia wenyewe wakaona mchezo umechezwa Dubai. Halafu wakajua kuwa kuna genge fulani linacheza ule mchezo. Wakanirudishia hela zangu mara moja.
Mpaka leo huniambii kitu kuhusu Citibank na Customer Service yao kwenye haya mambo ya kurudisha hela zinazoibiwa.
Bongo unaibiwa wewe halafu benki bado inakuzungusha haiogopi hata bad publicity!
Wee ACHA tu Hapa Salio linasoma 164[emoji1][emoji1]baada ya kucheki
Dhambi hizii jamani daahhhhKuna kisa kimoja kilinipa maswali sana.
Kuna shangazi yangu mmoja Huwa yuko kijijini ana shughuli zake za kilimo. Sasa kuna kiwanja chake kilikuwa Morogoro maeneo ya ifakara, Binti yake akakiuza. Akamwambia binti yake Mil 1 amuwekee kwenye simu yake na laki 5 amuwekee bank. Sasa ile ya kwenye simu ilikaa zaidi ya mwaka hajaigusa.
Sasa siku ya siku ameenda 'center' kwa wakala kutoa laki 1, inagoma. Kumpa wakala anamuambia 'mama mbona hii line haijasajiliwa ....money?' Shangazi akamuonyesha message ya muamala wa kupokea Mil 1. Kuwapigia Call center, wanamuambia hajawahi jiunga 'air...money'. Ikabidi aende wilayani duka la huduma kwa wateja, nao wakawa na jibu hilo hilo. Alisumbukia week nzima; ulokole wake akaamua muachia Mungu tu.
Nimekuja learn hili tukio baada ya Mwezi, kuna jamaa yangu yukn kwenye mitandao, akaniambia hiyo issue imepigwa na watu juu wa mtandao huo.
Na kama ni wilayani rahisi kuibiwa maana vifo vya watu km hao hujulikana na watu wengi hvyo wanawahi fastaaa tuNi kweli. Kuna kesi nyingi za warithi kudhulumiwa na kudanganywa kuhusu kiasi cha fedha kilichokuwa kwenye account ya marehemu.
Binafsi mzee wangu alikuwa anafanya shughuli zake na alikuwa anaweka fedha benki pia Alikuwa mstaafu so alikuwa analipwa Pension yake via NMB. Mwaka ambao mzee alifariki, alivuna mpunga na akauza gunia zaidi ya 500 ambazo alipeleka benki. Baada ya kufariki na tulikaa muda mrefu kupata utaratibu wa mirathi kwenda benki tunaambiwa mzee alikuwa na laki saba tu benki.
Afisa wa benki ana uwezo wa kutoa fedha ya mteja bila wewe mteja kupata taarifa.Inakuwaje pesa zichomolewe asipewe taarifa kwa ujumbe mfupi? Au huyo jamaa alifanya yake zikitolewa asipate taarifa?
Unachosema ni sahihi NMB haifai wizi na utapeli ni mwingi sana.Bank ya NMB sio salama kabisa, matukio na malalamiko ya wizi ni mengi sana. Mimi mwenyewe ni muhanga wa kupigwa na hii Bank.
Serikali fanyeni uchunguzi kwenye hii Bank maana ni hatari sana, anzeni na pale Mbezi Beach Africana.
Ndomana matukio ya vifo vya wafanyakazi wa Bank ni vingi sababu ya haya mambo.
NMB nilihama muda sana.
Ndo shida ya wamakonde kibri na dharau saña wakipata unammwagia mtu mafuta kisa 150m...an evil acts,ndo maana tunadharaulika mnoo...from no where ummwagie mtu mafutaHahahaha njaa itakuua sana dogo bahati mzuri nimewataja wahusika wote na humu wapo wengi watu wa mtwara tena wa sokoni na hivyo visa wanavijua vizuri sana...acha makasiriko sasa je nikikuletea kisa cha pedeshee kide baada ya kuipiga zaidi ya milion 150 za ambari kwa ujeuri wake akachukua karai lililo na mafuta ya moto ambayo wanakaangia chipsi akammwagia mtu pale mnarani na akampeleka yeye mwenyewe hospital na akawalipa ndugu zake mgonjwa Cash napo si utabisha?
Sipati wiki Sasa notification dear[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu kuna sehemu nilikutag naona hukupata notification
Kumbe mkuu nawewe ni wahuku? ila mtwara ilikuwa na mzinguko mkubwa wa pesa ila alivyoingia magufuli kaharibu mzinguko wote kwasababu makampuni yote yalihama hapa mjini na pia machafuko ya msumbiji nayo ikachangia kuuondosha kabisa mzinguko wa pesa mjini kwasababu mipaka ilifungwaNdo shida ya wamakonde kibri na dharau saña wakipata unammwagia mtu mafuta kisa 150m...an evil acts,ndo maana tunadharaulika mnoo...from no where ummwagie mtu mafuta
Ndo Yale ya kuyapa talaka makopa kisa pesa za koroshoo
Alifanya ujinga sana
Kama aliweza kuchomoa hela, anaweza pia kumbadilishia namba kwenye profile. By the way, kama hujasajili mobile money, hupati ka mesejiInakuwaje pesa zichomolewe asipewe taarifa kwa ujumbe mfupi? Au huyo jamaa alifanya yake zikitolewa asipate taarifa?
Mnume mtani?Mipa nammya nnume uyooo
Hao niwezi walishamwibia bab wawatu bosy wetu ml 250 tena zilikuja kwa dola na ilikuwa ya wateja wanakuja huku tanzania wa mwaka mzima palikuwa hapatoshi walituzungusha sana , benki zenye wizi wakuonekana ni hizi CRDB, NBC , BOA, NMB,STANBIC ,EXIM BANK NDIO WANATABIA ZA WIZI HAPA TANZANIA
Bila shaka itakuwa ndiyo yule mwamba kuna siku alinitukana The hub baada ya kumkanyaga kwa bahati mbayaSamwel ulikuwa unaona sifa kuwaagizia MOET malaya .Umeyakanyaga.
Kijizi nimecheka sana halafu ndio maana huwa riba nijuu sanaOngezea hapo:
1. Kilimanjaro Cooperative bank iko huko Kilimanjaro( ombeni, Kingazi, makwebe) wapo magereza / wafungwe tu.
2. Akiba bank
3. Azania Bank ( kulikuwa na kijizi kimoja kinaitwa Swai, mtumishi wa Azania).
3. Saccos zote ni wezi wa mchana kweupe na wanashirikiana na mabank)
Nadhani walihisi alishaisahau. Maana assumption ya kufa haiwezi, maana line ilikuwa inatumika.Dhambi hizii jamani daahhhh
Walidhani kafa au vipi...
Ujinga wa kuiba pesa kwa kudonoa donoa mara nyingi huwa hazina cha maana unachofanyia. Ukute jamaa alikuwa anachukua Milioni moja moja na kwenda kulia bata, leo hii ukimwambia kapiga Mil. 100 ataona kama kaongezewa 00.