DOKEZO Mfanyabiashara maarufu Arusha aibiwa Tsh. Milioni 100 kwenye akaunti ya Benki ya NMB

DOKEZO Mfanyabiashara maarufu Arusha aibiwa Tsh. Milioni 100 kwenye akaunti ya Benki ya NMB

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mwaka juzi kuna jamaa mmoja kwenye tawi la bank fulani alitaka kuniliza niliposhtuka akawa mpole.Kuna ela nilikua niingiziwe kwa ajili ya kazi fulani kabla haijaingizwa nikaangalia salio kwenye akaunti ysngu,baada ya siku mbili nikaambiwa ela imeshaingizwa kwenye akaunti,kwavile iliingia kimya kimya nilivyoenda bank kuitoa nikampa jamaa kadi aniangalizie kwanza salio.Akanipa kikaratasi alichoandika salio kuangalia nikajumlisha na lile salio la mwisho nikaona imepungua laki 5,nikamwambia naomba nipate taarifa fupi ya hiyo akaunti,akaanza kujifanya yuko busy,anaenda uku anarudi,mara aniambie subiri kidogo,nikamkazia ndo akafunguka,bro samahani sana naomba usimwambie mtu,mambo yamenikaba ngoja nirudishe ela yako.Namimi nilimshtukia ni yeye kwasababu wakati nimempa kadi aniangalizie salio alikua anajifanya yuko busy sana,mara apange pange makaratasi,mara apokee simu,mara achezee computer uku ananiangalia kisanii.mimi nikawa namwangalia tu.Aliponipa ile karatasi machale yalinicheza ndo maana nikapata wazo lakujumlisha salio.Nilikasirika sana lakini kwajinsi alivyopata kitete chakunibembeleza watu na wafanyakazi wenzake wasijue ilibidi nimsamehe maana ile ilikua adhabu tosha.Watumishi wengi kwenye hizi bank sio waaminifu.
 
Ila mtu unakuaje na kiasi kingi hicho cha pesa na wala usifatilie hata balance asee. Daah kweli tuko tofauti.
Tajiri Mmasai aitwaye "Lemali" aliacha Billion 3 kwa miaka kadhaa Standard Chartered Bank na haikuguswa mpaka akapewa zawadi ya landcruiser Mkonge (160M)

Benki yoyote inapaswa kujenga Trust kwa customers wake, wakubwa kwa wadogo

BOT isiwafumbie macho kwa hili
 
Inakuwaje pesa zichomolewe asipewe taarifa kwa ujumbe mfupi? Au huyo jamaa alifanya yake zikitolewa asipate taarifa?
Inategemea kama simu yake imeunganishwa. Inavyoelekea aliziacha kwa muda mrefu sana, mpaka kuhisiwa amefariki!
 
Hapo NMB Clocktower ndo kuna mtumishi mwingine mwenye kesi ya ulawiti. Kiufupi clo
Hapo NMB Clocktower ndo kuna mtumishi mwingine mwenye kesi ya ulawiti. Kiufupi clocktower kuna ukosefu wa maadili.
Hapo NMB Clocktower ndo kuna mtumishi mwingine mwenye kesi ya ulawiti. Kiufupi clocktower kuna ukosefu wa maadili.

cktower kuna ukosefu wa maadiliv
Hao niwezi walishamwibia bab wawatu bosy wetu ml 250 tena zilikuja kwa dola na ilikuwa ya wateja wanakuja huku tanzania wa mwaka mzima palikuwa hapatoshi walituzungusha sana , benki zenye wizi wakuonekana ni hizi CRDB, NBC , BOA, NMB,STANBIC ,EXIM BANK NDIO WANATABIA ZA WIZI HAPA TANZANIA
Vipi walivyoiba walizirudisha?
 
Tajiri Mmasai aitwaye "Lemali" aliacha Billion 3 kwa miaka kadhaa Standard Chartered Bank na haikuguswa mpaka akapewa zawadi ya landcruiser Mkonge (160M)

Benki yoyote inapaswa kujenga Trust kwa customers wake, wakubwa kwa wadogo

BOT isiwafumbie macho kwa hili
Duuh hatari sanaa Bil 3??? Khaaa shikamoo masaiii
 
Hivi inawezekana wakaiba kwny acc yako alafu ule muamala usionekane kwny bank statement yako?? Tuseme tukio lilitokea 2021...
 
Bank ya NMB sio salama kabisa, matukio na malalamiko ya wizi ni mengi sana. Mimi mwenyewe ni muhanga wa kupigwa na hii Bank.

Serikali fanyeni uchunguzi kwenye hii Bank maana ni hatari sana, anzeni na pale Mbezi Beach Africana.

Ndomana matukio ya vifo vya wafanyakazi wa Bank ni vingi sababu ya haya mambo.

NMB nilihama muda sana.
Hahaha yaani mtu kabisa tena na una hadi hela kubwa mpaka za kuibiwa na benki yako bado akili yako inakutuma kwamba kushitakia kwa serikali hii ya jmt utapata suruhisho ahahahhah
 
Back
Top Bottom