Watchtower
Member
- Sep 18, 2022
- 93
- 182
Ipo mkuu ila ipo zaidi Kwenye Corporate CustomersHivi Citibank bado ipo Tanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo mkuu ila ipo zaidi Kwenye Corporate CustomersHivi Citibank bado ipo Tanzania?
Tajiri Mmasai aitwaye "Lemali" aliacha Billion 3 kwa miaka kadhaa Standard Chartered Bank na haikuguswa mpaka akapewa zawadi ya landcruiser Mkonge (160M)Ila mtu unakuaje na kiasi kingi hicho cha pesa na wala usifatilie hata balance asee. Daah kweli tuko tofauti.
Wanawapa Credit wapinzani wao CRDBKuchomoa hela kwenye akaunti ya mtu halafu jinai hiyo inafanywa na mtumishi wa bank ni wazi NMB si sehemu salama kuweka akiba
Stanbic na bank zingine za nje hazina huu upumbavu kama localsVipi Stanbic Bank mkuu?
Hii comment imemaliza kila kitu na ndio maana hawakutaka taarifa zitoke nje maana msiba utafika hadi kwa wakubwa zao.Hapo sio Samwel tu anaehusika kuna mchezo mchafu unahusisha mpaka wakubwa wa hio branch.
Inategemea kama simu yake imeunganishwa. Inavyoelekea aliziacha kwa muda mrefu sana, mpaka kuhisiwa amefariki!Inakuwaje pesa zichomolewe asipewe taarifa kwa ujumbe mfupi? Au huyo jamaa alifanya yake zikitolewa asipate taarifa?
Hapo NMB Clocktower ndo kuna mtumishi mwingine mwenye kesi ya ulawiti. Kiufupi clo
Hapo NMB Clocktower ndo kuna mtumishi mwingine mwenye kesi ya ulawiti. Kiufupi clocktower kuna ukosefu wa maadili.Hapo NMB Clocktower ndo kuna mtumishi mwingine mwenye kesi ya ulawiti. Kiufupi clocktower kuna ukosefu wa maadili.
cktower kuna ukosefu wa maadiliv
Vipi walivyoiba walizirudisha?Hao niwezi walishamwibia bab wawatu bosy wetu ml 250 tena zilikuja kwa dola na ilikuwa ya wateja wanakuja huku tanzania wa mwaka mzima palikuwa hapatoshi walituzungusha sana , benki zenye wizi wakuonekana ni hizi CRDB, NBC , BOA, NMB,STANBIC ,EXIM BANK NDIO WANATABIA ZA WIZI HAPA TANZANIA
Duuh hatari sanaa Bil 3??? Khaaa shikamoo masaiiiTajiri Mmasai aitwaye "Lemali" aliacha Billion 3 kwa miaka kadhaa Standard Chartered Bank na haikuguswa mpaka akapewa zawadi ya landcruiser Mkonge (160M)
Benki yoyote inapaswa kujenga Trust kwa customers wake, wakubwa kwa wadogo
BOT isiwafumbie macho kwa hili
Washatuona wakuja 🚮🚮🚮Halafu eti anchomoa kidogo kidogo... Mifumo ya benki tunaijua wasitutanie...
Bado Hamshtuki kama huu ni mtumbwi wa vibwengoYule aliyemfira mtoto wa shule ni toka tawi Hilo pia. !! Ipo shida mahali !
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Si kweliYaani karibuni
Hahaha yaani mtu kabisa tena na una hadi hela kubwa mpaka za kuibiwa na benki yako bado akili yako inakutuma kwamba kushitakia kwa serikali hii ya jmt utapata suruhisho ahahahhahBank ya NMB sio salama kabisa, matukio na malalamiko ya wizi ni mengi sana. Mimi mwenyewe ni muhanga wa kupigwa na hii Bank.
Serikali fanyeni uchunguzi kwenye hii Bank maana ni hatari sana, anzeni na pale Mbezi Beach Africana.
Ndomana matukio ya vifo vya wafanyakazi wa Bank ni vingi sababu ya haya mambo.
NMB nilihama muda sana.