Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Nacheka kama mazuri, kumbe tupo msibani!Nyapu imezima kidume!" ! Nasikikiaga watu wazima 50+ performance hushuka sana., sasa mtu anatumia madawa kujibust, ili aendane na kasi ya mtoto wa elfu 2, mwisho wa siku presha inamchukua
😂🤣🤣Tena wewe ndio hamna kabisaaa!!
Kula vyombo Dr hiyo kazi haihitaji watu dhaifu.Mapema Sana Mimi ni jioni tena baada ya kazi nakunywaga Ile konyagi ndogo moja inanitosha Sana
Kwani hauna kweli?🙃Ephen mzuri inafaida gani kunifanyia hiv🤔
Nimemkadiria!🤣😂🤣🤣
Umetumia kipimo gani.
Subiri nilewe zaidi😄😄Kwani hauna kweli?🙃
Nguvu zako hadi uleweSubiri nilewe zaidi😄😄
Uje bro .asante sana kaka
nitakunywa maji tu lakini, pombe hapana.Uje bro .
Nitakuchapa hakika haiwezekani mtoto wa aflu mbili useme hivi🤣🤣🤣Nguvu zako hadi ulewe
Naomba unikadirie mimi 😡Nimemkadiria!🤣
Sure bro? Unasaka pesa kwa sababu gani sasa?nitakunywa maji tu lakini, pombe hapana.
Dharau hizi sasa!huwa nasema kwamba uzee ndo muda halali wa kufanya punyeto,
wazee wengi wana zile hisia lakini nguvu ya kazi hawana, na magonjwa hatarishi juu,
inaweza onekana mzaha ila wazee wapige nyeto tu, waachane na wanawake.
Wewe nani kila siku nakuulizaNaomba unikadirie mimi 😡
Bado nipo mishe mishe mpaka 12 ivi ntaanza ku boost. Mbaya zaidi Mimi mpaka Leo watu hawajuagi Kama huwa na kunywa/ boost.Kula vyombo Dr hiyo kazi haihitaji watu dhaifu.
PoleNitakuchapa hakika haiwezekani mtoto wa aflu mbili useme hivi🤣🤣🤣
Sio kweliDharau hizi sasa!
Unawezaje kula mahela ya ustaafu huku ukipiga punyeto?
Hela tamu sana kuziteketeza ukiwa na mwanamke pembeni.
Heri kufia kwenye kinena kama Mbowe kuliko kufa huku mikono imeloa kwa povu la sabuni.
Kunywa pombe usiogope! Kama nguvu mtu huna ni hauna tu.nitakunywa maji tu lakini, pombe hapana.
basi tuwe tunazingatia afya tukiwa vijanaDharau hizi sasa!
Unawezaje kula mahela ya ustaafu huku ukipiga punyeto?
Hela tamu sana kuziteketeza ukiwa na mwanamke pembeni.
Heri kufia kwenye kinena kama Mbowe kuliko kufa huku mikono imeloa kwa povu la sabuni.