Mfanyabiashara Simon Mbowe (52) afia gesti akiwa na binti wa miaka 27 Songea

Ni heri nisipige papa kama imefikia hatua ya kujiboost, au nipige chini ya kiwango. 40+ Me unatakiwa uijali afya yako kwanza.

Huko lodge ukifikiria risks unaweza usiende, maana hata binti anaweza kufia huko, sijui utaambia nini familia yako.
 
Nilidhani wewe ni mchaga, napenda wachaga mimi ila wale ambao hawana meno ya chocolate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…