Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

Hivi wewe Suzy Elias una kichwa au una cabbage juu ya shingo yako? Unaanzaje kubeza Tsh 30,000 wakati yule mungu wenu wa Chato mwenye kichwa kama pumbu ya punda hajawahi kuongeza hata Tsh 100/= kwa miaka 5.

Wasukuma tuacheni na Mama yetu Samia, wakati wenu wa kufanya UHAYAWANI ulikwisha 17/03/21
Huihui we ni mshenziiiiiii,huwa unawanyanyapa punda kuangalia nyeti zao.Tutakupeleka desk la wanyama.
 
Nani kakwambia watumishi wanaishi kwa mshahara, mshahara ni kwa ajili ya kuombea mkopo. Sipati picha jinsi mabenk yalivyokenua meno maana tegemeo lao ni kuwakamua watumishi wa umma Ili bank ziende. Unakopa milioni 20 unarejesha milioni 15.Kukopa ni rahisi kukatwa maumivu. Bora ukope uweke kwenye real investment.
Kama investment zipi mkuu
 
Acha uongo!! Hayo madeni ulilipa wewe? Madaraja watu tumekaa miaka nane ndo kaja kupandisha Samia,..na hizo hisabati unazojua ziko wapi mbona umeongea porojo tupu,..watu wengine bwana!! Hebu tuacheni watumishi machungu yetu hamyajui nyinyi na li Magufuli lenu
Mwehu huyo achana nae. Na sio mtumishi haelewi kitu
 
Yule marehemu wenu hakuongeza hata Mia, na bado mazwazwa mlimshangilia.
Unavyoongea utafikiri hujawahi kufiwa. 😁😁 fika sehemu ukute wanamuongelea vibaya marehemu ndg yako uone utakavyojisikia hata kama alikuwa mtenda maovu kwenye jamii.
 
Hasa malimu yanakenua hovyo ngoja tuone
Ulivyoandika km vile huna akili. 😁😁 malimu as if ni takataka wakati ndo walikufanya ujue kuchangia nyuzi za jf. Jifunze kuwa na adabu hata kama walimu hao hawakukufikisha sehemu ulikotaka but shukuru hata kujua kusoma na kuandika ilitosha.
 
😁Sema Bongo hii….
Uzi wako una lengo zuri la kuhitaji mfumuko wa bei udhibitiwe japo ni swala la dunia nzima….
Ulipoharibu ni huo ushabiki maandazi uliouweka kwenye Nyongeza ya mshahara hiyo ni haki ya Wafanyakazi
Mkuu kama Una ndoto za kuwa kiongozi Nenda Tukuyu ukalime maparachichi yanaweza kukusaidia kuongeza kipato
 
Unavyoongea utafikiri hujawahi kufiwa. 😁😁 fika sehemu ukute wanamuongelea vibaya marehemu ndg yako uone utakavyojisikia hata kama alikuwa mtenda maovu kwenye jamii.
Kama alikuwa muovu na Mimi nashiriki kumsema. Hata hivyo haiumi Kuliko kukaa miaka Saba bila kuongezwa mshahara na masimango juu.
 
Vp ule mghahawa wako!
Ulikufa au bado unaendelea

Ova
 
Back
Top Bottom