Mfanyakazi wa ndani auawa Uarabuni na mwili wake kutupwa chini ya gari

Hahaa, Eti mshahara wa 900,000, wanadanganywa hivyo halafu wakifika huko ni vipigo na wananyimwa kurudi, kamdanganye dada yako aende akaingiliwe kinyume na maumbile na hao mahayawani
 
Wewe muarabu koko wa chakechake vipi unalipwa kuwatetea waarabu wa Lebanon? Acha shobo hawakufahamu na ukienda kule utaitwa mswahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu wenye ngozi nyeupe wabaguzi sana nishafanya kazi kwenye hospitali moja ta mrusi. Yani wakija wanakataa daktari mwafrika. Yani watakaa hapo hata masaa ma3 kumsubiria ngozi nyeupe mwenzao. Wapuuzi sana hawa watu. Mimi hua nawaangalia natamani hata wakufe hapo kwenye bench wakisubiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana roho mbaya hawa binadamu


Hivi mtu unapojua kuwa ndani ya shimo fulani kuna nyoka je unaweza kuingiza mkono wako humo shimoni??--- inafahamika kabisa kwamba Waarabu ni wanyama hasa kwa sisi watu weusi lakini nasisi weusi akili fupi ndiyo inatusumbua, unakubali kuondoka kwenu ukiwa mtu huru na unakwenda mahali ambapo unajua utakuwa mtumwa??!! -- habari za mateso ya vijakazi huko Arabuni ni habari maarufu na ya miaka mingi lakini bado hatujifunzi tu!!??.
 
Out of desperation
 
"Entertaining desperation is among the greater sins".--- humanbeing is created to struggle and not to despair.
We need to question our leadership, there is a need of mobilising youth manpower in a serious productive projects and effective marketing strategies.
 
Wewe muarabu koko wa chakechake vipi unalipwa kuwatetea waarabu wa Lebanon? Acha shobo hawakufahamu na ukienda kule utaitwa mswahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lebanon ina mchanganyiko wa makabila mengi sana,wapo watu wanaotoka North America,South America,Europe,Australia na Africa pia wapo.Waislamu wa Suni ni kama 27% ya wakazi wote.Wakristo wanakaribia 40%,na wengine ni dini nyingine ziko.Lebonon mda mrefu,ilikuwa kimbilio la wakimbizi kutoka nchi mbali mbali duniani.Armeanias,Kurds,Turks,Assyrians,Iranian, Greeks,Italians,French.Kiingereza kinazungumzwa sana na kiarabu,kiarabu chao kina mchanganyiko na lugha za kizungu.Lebonon ni uzungu mwingi kuliko uarabu,na nchi iko Asia,japo inahesabika ni ya mashariki ya kati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are partly right, but the rest buck lies on ones own personal desires and ambitions on how to lead his/her own life.

Sky Eclat
 
Ipo asia lakini inahesabika ipo mashariki ya kati. Hayo mengine porojo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe muarabu koko wa chakechake vipi unalipwa kuwatetea waarabu wa Lebanon? Acha shobo hawakufahamu na ukienda kule utaitwa mswahili.

Sent using Jamii Forums mobile app



Hakuna anaewatetea hapa...haki ni haki tu,,, hapa bongo huyaoni yanayotokea au unajitoa ufahamu!! Mmewakalia kooni sana waarabu utafikiri cc ni wasafi!! wewe kama unawachukia waarabu na kuwapenda hao magay wakizungu na waisrael ni wewe lakini uclazimishe na wengine 2fanane,,,mimi cna chukinao waarabu,,, nawapenda sana na kuwaheshimu pia. Na wao vile vile wana2penda na ku2heshimu,,,ivyo sioni sababu ya wewe kuwachukia utapata dhambi bure.



Chuki haijengi bali inabomoa dada,,,chuki mwisho wake mbaya.,,,ebu jirekebishe!




Kama imekuchoma sana kaa pembeni
 

Story za kwenye kahawa izo,,,
 
Kuna mmoja nilisoma story yake kwenye gazeti. Anatoka Nigeria, baada ya kufanya kazi miezi 24 Dubai aliweza kurudisha nauli iliyompeleka na akafungua mgahawa kwao. Sasa ni boss kwenye mgahawa wake.
Mtaani kwetu kuna binti alienda huko dubai aliishi huko miaka minne alivyorudi aliwajengea wazazi wake nyumba nzuri na yeye sasa hivi analo duka kubwa la vipodozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu ushahidi murua huu
 
Kuna watu wajinga sana,hivi hii dunia nchi zoooote za kwenda hawazioni ..mtu unaenda lebanon,afghanstan,oman,pakistan. .!!!aisee wale jamaa wana roho mbaya kishenzi yan
 
Acha masihara mkuu , kwani baadhi ya serikali za kiafrika haziuwi watu mkuu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…