Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Ipo Western Asia
Unatetea nini Kikwajuni one ?!Hii nchi ya Lebanon,inatumia lugha ya kiarabu, na english ,lakini ina mchanganyiko wa makabila mengi duniani.Hata kiarabu chao ni mchanganyiko wa lugha tofauti.Na wanafuata utamaduni wa kizungu zaid,kuliko wa kiarabu,kuanzia mavazi,chakula,maisha,harusi zao,shule zao,uzungu ni mwingi kuliko uarabu.Hata waislamu walioko Lebanon,kuwajuwa kama ni waislamu,uwe mwenyeji sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna point unamleta mwenyezimungu.Chuki imekukaa kwenye damu dadaa,,,Muogope bac Mwenyezi Mungu maisha ni mafupi sanaa,,,
Yes ni kweli kabisaHii nchi ya Lebanon,inatumia lugha ya kiarabu, na english ,lakini ina mchanganyiko wa makabila mengi duniani.Hata kiarabu chao ni mchanganyiko wa lugha tofauti.Na wanafuata utamaduni wa kizungu zaid,kuliko wa kiarabu,kuanzia mavazi,chakula,maisha,harusi zao,shule zao,uzungu ni mwingi kuliko uarabu.Hata waislamu walioko Lebanon,kuwajuwa kama ni waislamu,uwe mwenyeji sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo visa vya waarabu kuwatesa waafrika ni vingi sana, bado wanatuchukulia ngozi nyeusi kama watumwa wao.
hahaa, wee malamba makalio ya Waarabu, hapa tunataja unyma wanaofanyiwa wafanyakazi na Waarabu wewe unaleta mambo sijui ya kanisani, Wazungu yanahusiana vipi? Dah nyie watu sijui Waarabu waliwaloga kwa uchwi gani, au mnavyoinama na kugongesha vichwa vyenu ardhini huwa inaharibu ubongo?Ndivyo mnavyofundishwa makanisani eti! 😁😁 kumbe mzungu hajakosea kutuita sokwe eti!! Maana akili zetu kidogo zinataka kfanana na kile kiumbe,,,
Huna point unamleta mwenyezimungu.
Hiyo map inaonyesha distribution of gene J. Watu wenye hiyo gene wana uarabu. the more red the colour the more gene J certain people have. Sasa mbona pemba haipo hapo [emoji28][emoji23].View attachment 1399650
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,,,Kama visa gani kwa mfano! Maana hata cc uku 2natesana tena co kidogo,,,nenda tarime kajionee wanavyokatana mapanga na kuchomeana manyumba na mashamba,,,mahousegirl wanateswa na mishahara wanayopewa ni kidunchu,,,albino wanauawa,,vikongwe kuuawa,,wazazi wanamchizisha mwanao kisa wapate utajiri,,haya yote ni mateso tena yamepitiriza kiwango.
Upande wa ku2chukulia ngozi nyeuc kama wa2mwa co kweli ni mawazo yako,,cc ngozi nyeuc huwa 2nahisia tofauti sana,,2nahic kubaguriwa, kudharauliwa,,kutengwa,,kujiona ha2thaminiwi,,hii ki2 mbaya sana na imetuathiri kisaikolojia coz 2shajijengea ivyo,,,,,ckatai hawapo may be wakawepo wa sampuli iyo na waco fuata mafundisho ya dini,,,anaefata mafundisho ya dini awezi fanya huo ujinga,,,,,Hata huku kwe2 mbona kuna makabila yanajiona wao ndio special kuliko makabila mengine,,,mfano wasukuma, wanavyodharauliwa na kuchukuriwa kama wa2mwa wa makabira mengine,,ukija ukanda wote wa afrika 2nabaguana wenyewe kwa wenyewe ata uarabuni ivyo ivyo. Lakini ukisoma dini na ukaifata kama ilivyo hutafanya huo ujinga.
story za kusadikika izoKuna mmoja nilisoma story yake kwenye gazeti. Anatoka Nigeria, baada ya kufanya kazi miezi 24 Dubai aliweza kurudisha nauli iliyompeleka na akafungua mgahawa kwao. Sasa ni boss kwenye mgahawa wake.
Wachinjwe tu mbwa hao, haina namnaWafanyakazi 250,000 halafu wawili wanakufa kila wiki na hakuna hatua zozote?
Mi ndio maana siwaonei huruma hata kama wanatendewa visivyo na Israel au USA, wao ni wabaya zaidi
Hakika. Japo wengi wamejijengea kwamba wakishaenda huko basi ndio wameshaagana nao. Kumbe si hivyo.
Vituko wanavyofanyiwa hawa mabinti wa kazi za ndani ni vingi sana. Ukiacha kunyimwa fursa ya kutumia simu, kurudisha harama zote za kumsafirisha toka kwako hadi huko (PASSPORT, VISA, TICKET YA NDEGE). Pia watumika kuwastarehesha wanaume! Hapa Tanzania mabinti wengi wanapitia kwa madalali ambao wako upande wa Kenya hasa Tarekea na Holili
Wanatoak kimaisha kwa kufanykazi za ndani ni wachache sana, wengi wao wanaishia kunyanyaswaEasy man!
Lakini hata hapa Tanzania kama kuna mtu atafanya study ya maisha ya wafanyakazi wa ndani , anawezakpata taarifa ambazo zitasikitisha sana. Maana ukatili uko kila mahali iwe Ulaya, Amerika, Asia au AfrikaWanatoak kimaisha kwa kufanykazi za ndani ni wachache sana, wengi wao wanaishia kunyanyaswa
wanapenda sana dhuluma.Kusema ukweli waarabu ni sawa na mbwa tu, sio binadamu wale