KERO Mfumo wa Ajira unawakataa waliosoma kozi ya Development Finance & Investment Planning

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Holota

Senior Member
Joined
Feb 20, 2022
Posts
146
Reaction score
142
Mimi ni mhitimu wa Bachelor Degree in Development Finance and Investment Planning, ambayo imekuwa ikitajwa mara kadhaa kama miongoni mwa sifa zinazohitajika kwenye matangazo mbalimbali ya kazi serikalini kupitia portal ya ajira.

Hata hivyo, kila ninapojaribu kutuma maombi ya kazi ambazo zinaitaja kozi hii moja kwa moja, mfumo wa ajira (portal.ajira.go.tz) unanikatalia na kusema sifai.

Mfano wa hivi karibuni ni tangazo la kazi ya Planning Officer II – TPA, ambalo limetaja wazi kozi yangu kama moja ya sifa zinazokubalika. Lakini bado, mfumo haukubali maombi yangu.

Swali langu ni je, kuna wengine wamewahi kukutana na changamoto kama hii? Je, tatizo linaweza kuwa kwenye mfumo wa kuchuja sifa?

Na je, kuna njia rasmi ya kulifikisha hili kwa Katibu wa Ajira au mamlaka husika kwa haraka zaidi?

Karibuni kwa maoni, uzoefu wenu, na ushauri.

Screenshot_20250627-234721.png

Screenshot_20250627-192127.png
 
Angalia kwanza kazi iko category ipi.

Kisha reset profile yako iendane na job category
 
Ipo category ya "banking economics and financial services" , kwa watu wengi tuliosoma hii kozi kuomba kazi kupitia ajira portal ni mtihani kwa kweli kwa sababu sio kazi hii tu ni nyingi na ukizingatia katika tangazo kozi yetu imetajwa kama ilivyo
 
Mkuu ukizingatia hilo nililokwambia hakuna kazi utashindwa kuomba.
Fanya kuwa unarekebisha akaunti yako iendane na job category. Hata nursing na hiyo banking unaweza kuomba. Ishu ni job category ina match na profile?
 
Samahani mkuu , mfano kazi hii ya planning officer ipo category ya banking ,economics and financial services na Mimi wakati najisajili profile yangu ipo kwenye category hiyo Sasa apo natakiwa kubadilisha kitu gani naomba ufafanuzi kidogo apo
 
Project Planning and Policy Management.
Ukiset huko inakubali kwenda.
P.S kazi ikitoka huwa inakuwa na mawenge kwenye mfumo na inapokua category zaidi ya moja napo ndipo chenga za kwamba haukidhi vigezo huanzia hapo.
Sometime sikilizia hata masaa 24 ndio u apply ikiwa ina rundo la category.
 
Shukran mkuu
 
Nenda pale kivukoni jengo la utumishi ulizia ofisi za ajira portal pana vijana pale watakusaidia.
Hii nimejaribu , kinachotokea ni kwamba kubadili category haiwezekani kama mwanzo uliweka category ya banking, economics and financial services utabaki tu kuwa hivyo
 
Mhh kiukweli mmemjibu ndugu kisiasa uhalisia category unayoisajiri mwanzo wa akaunti Yako itabaki hivyo milele.
Ishu anayozungumzia yeye ni kweli changamoto kubwa sana, inawakumba wengi mfano utakuta ajira inatangazwa na uzuri uwa kama inausisha category zaidi ya Moja itawekwa kwenye mafungu yote inayohusisha lakini inaweza isikubali kuomba angali wewe unahivyo vigezo. Nilishawai kuona ajira za admission officer,editor,academic officer hizi kwenye tangazo walijipambanua na kueka sifa ya coz nyingii na mwisho wa siku wakaruhusu hata walimu wa course mbalimbali nao waombe na ikawekwa kwenye category ya education and training lakini walimu waliofanikiwa kuomba hapo ni wa BAED tu wengine walikufa kijerumani kazi unaiona lakini autopata at fursa ya kuiomba huo mfumo developer waurudie Tena una mapungufu ya wazi wazi
Kiukweli huo mfumo auendani na matangazo yao unapishana vibaya mno ni vile wausika wanajifanya manabii awakosei huu mfumo unaitaji reform now upanguliwe upya developer waumize vichwa vijana wanakosa ata fursa za kuomba ajira wakati vigezo wanavyo mfumo unawakatili vibaya mnoo.
Kuna likazi huko tpa linakuwa re advertising Kila mara sio vijana wa kucover hapo awapo no linagoma kuombwa.
 
Kaka mbona mimi kwenye akaunti za ndugu, jamaa na marafiki na badilisha hizo category kila uchwao?
Hapa kuna Afisa mazingira nimemuombea kazi za Weighbridge operator TANROADS.
 
Mhh kiukweli mmemjibu ndugu kisiasa uhalisia category unayoisajiri mwanzo wa akaunti Yako itabaki hivyo milele.
Ishu anayozungumzia yeye ni kweli changamoto kubwa sana, inawakumba wengi mfano utakuta ajira inatangazwa na uzuri uwa kama inausisha category zaidi ya Moja itawekwa kwenye mafungu yote inayohusisha lakini inaweza isikubali kuomba angali wewe unahivyo vigezo. Nilishawai kuona ajira za admission officer,editor,academic officer hizi kwenye tangazo walijipambanua na kueka sifa ya coz nyingii na mwisho wa siku wakaruhusu hata walimu wa course mbalimbali nao waombe na ikawekwa kwenye category ya education and training lakini walimu waliofanikiwa kuomba hapo ni wa BAED tu wengine walikufa kijerumani kazi unaiona lakini autopata at fursa ya kuiomba huo mfumo developer waurudie Tena una mapungufu ya wazi wazi
Kiukweli huo mfumo auendani na matangazo yao unapishana vibaya mno ni vile wausika wanajifanya manabii awakosei huu mfumo unaitaji reform now upanguliwe upya developer waumize vichwa vijana wanakosa ata fursa za kuomba ajira wakati vigezo wanavyo mfumo unawakatili vibaya mnoo.
Kuna likazi huko tpa linakuwa re advertising Kila mara sio vijana wa kucover hapo awapo no linagoma kuombwa.
Mkuu wewe umenielewa vizuri sana ,kozi imetajwa kwenye tangazo la ajira kama mtu alivyosomea na ipo kwenye category husika kama wewe ulivyojisajili lakini Cha kushangaza ukiomba inaseme job application failed
 
Back
Top Bottom