KERO Mfumo wa Ajira unawakataa waliosoma kozi ya Development Finance & Investment Planning

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kaka mbona mimi kwenye akaunti za ndugu, jamaa na marafiki na badilisha hizo category kila uchwao?
Hapa kuna Afisa mazingira nimemuombea kazi za Weighbridge operator TANROADS.
Program category hauwezi kubadilisha , sijui wewe unatumia njia gani labda utuelekeze kwa ufafanuzi zaidi
 
Na mimi Nilikutana na mtu ana changamoto ya vyeti yaani aliweka vyeti ambavyo havikuwa verified kubadilisha tuu imekuwa mitihani ,akiapply anaambiwa vyeti haviko verified na kubadilisha haiwezekani
 
Nilishawai kutana na hii Tatizo.
Kwenye Tangazo Kozi Yangu ipo, Ila Mfumo unakataa, Nikawapigia simu ndani ya masaa 6 Wakarekebisha na Kunirudia kuniambia nitume maombi washarekebisha

So Go for it all the way
 
Kama Tangazo ka kazi halijafungwa anabadirisha, Kama hawezi awapigie simu.
 
Mkuu wewe umenielewa vizuri sana ,kozi imetajwa kwenye tangazo la ajira kama mtu alivyosomea na ipo kwenye category husika kama wewe ulivyojisajili lakini Cha kushangaza ukiomba inaseme job application failed
pale wanaposema job application failed huwa wanatoa sababu jaribu kuchek
 
Nilishawai kutana na hii Tatizo.
Kwenye Tangazo Kozi Yangu ipo, Ila Mfumo unakataa, Nikawapigia simu ndani ya masaa 6 Wakarekebisha na Kunirudia kuniambia nitume maombi washarekebisha

So Go for it all the way
Sawa ntajaribu hii mkuu japo simu hazipokelwei kwa mda mrefu
 
pale wanaposema job application failed huwa wanatoa sababu jaribu kuchek
Sababu ni kama

Job Application FAILED​

Sorry! You can not apply for the job post, Check Required Bachelor Degree Academic Programs!

Please read and understand carefuly Job post qualification requirements before applying

Thank You.

Lakini kwenye tangazo la ajira hiyo kozi ipo kama ilivyo sio labda tunalazimishia hapana na sio hii kazi tu zipo pia Zingine
 
Ndo inavo kuaga, Alie weka Tangazo alisahau kuhuisha kozi Yenu kwenye Hiyo post, We wapigie na uwe mkali, Waambie Wakimaliza wakupigie simu
 
Mkuu wewe umenielewa vizuri sana ,kozi imetajwa kwenye tangazo la ajira kama mtu alivyosomea na ipo kwenye category husika kama wewe ulivyojisajili lakini Cha kushangaza ukiomba inaseme job application failed
Yah ni kweli hii ndio changamoto kubwa kwenye huo mfumo.
Mimi binafsi yangu nilijitaidi kifikisha malalamiko na mapendekezo kwa wahusika kuwaonesha kwa ushahidi changamoto za mfumo na mapendekezo kwa maslai ya umma lakini sasa ni miaka miwili awashughulikii kiufupi nimeshindwa.
Tanzania ni nchi ya kijinga sana kuzaliwa Tanzania ni laana.
 
Na mimi Nilikutana na mtu ana changamoto ya vyeti yaani aliweka vyeti ambavyo havikuwa verified kubadilisha tuu imekuwa mitihani ,akiapply anaambiwa vyeti haviko verified na kubadilisha haiwezekani
Kuna jamaa yangu alikuwa na tatizo kama hiyo alibadilsha haikuwezekana ilibidii aende utumishi Dodoma wakabadilisha ikakaa sawa.
 
Jaribu kuwapigia kwenye namba za malalamiko Kuna siku kazi tuliyokuwa tuna apply ilileta changamoto kama hyo tuliwapigia wakaset tukaappl. Piga mara Kwa mara mpaka wabadilishe.
 
Back
Top Bottom