Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Huko mimi sijui kitu ila nakushauri andika barua ya kuomba kazi sambaza kwenye hizo taasisi za fedha hata kama hawajatangaza kazi ukiweza peleka hata mara mbili kwenye Bank moja kwa wakati tofauti ipo siku utaitwa kwenye Interview..Ipo category ya "banking economics and financial services" , kwa watu wengi tuliosoma hii kozi kuomba kazi kupitia ajira portal ni mtihani kwa kweli kwa sababu sio kazi hii tu ni nyingi na ukizingatia katika tangazo kozi yetu imetajwa kama ilivyo