Program category hauwezi kubadilisha , sijui wewe unatumia njia gani labda utuelekeze kwa ufafanuzi zaidiKaka mbona mimi kwenye akaunti za ndugu, jamaa na marafiki na badilisha hizo category kila uchwao?
Hapa kuna Afisa mazingira nimemuombea kazi za Weighbridge operator TANROADS.
Na mimi Nilikutana na mtu ana changamoto ya vyeti yaani aliweka vyeti ambavyo havikuwa verified kubadilisha tuu imekuwa mitihani ,akiapply anaambiwa vyeti haviko verified na kubadilisha haiwezekani
pale wanaposema job application failed huwa wanatoa sababu jaribu kuchekMkuu wewe umenielewa vizuri sana ,kozi imetajwa kwenye tangazo la ajira kama mtu alivyosomea na ipo kwenye category husika kama wewe ulivyojisajili lakini Cha kushangaza ukiomba inaseme job application failed
Sawa ntajaribu hii mkuu japo simu hazipokelwei kwa mda mrefuNilishawai kutana na hii Tatizo.
Kwenye Tangazo Kozi Yangu ipo, Ila Mfumo unakataa, Nikawapigia simu ndani ya masaa 6 Wakarekebisha na Kunirudia kuniambia nitume maombi washarekebisha
So Go for it all the way
Sababu ni kamapale wanaposema job application failed huwa wanatoa sababu jaribu kuchek
CHECK tena PMNdio
Sawa ntajaribu hii mkuu japo simu hazipokelwei kwa mda mrefu
Sababu ni kama
Job Application FAILED
Sorry! You can not apply for the job post, Check Required Bachelor Degree Academic Programs!
Please read and understand carefuly Job post qualification requirements before applying
Thank You.
Lakini kwenye tangazo la ajira hiyo kozi ipo kama ilivyo sio labda tunalazimishia hapana na sio hii kazi tu zipo pia Zingine
Hapo ndio anatakiwa acheze napo atafanikiwa tu kuapply.Angalia kwanza kazi iko category ipi.
Kisha reset profile yako iendane na job category
Naamini kafanikiwa. Ngoja arudi tutamsikia.Hapo ndio anatakiwa acheze napo atafanikiwa tu kuapply.
Yah ni kweli hii ndio changamoto kubwa kwenye huo mfumo.Mkuu wewe umenielewa vizuri sana ,kozi imetajwa kwenye tangazo la ajira kama mtu alivyosomea na ipo kwenye category husika kama wewe ulivyojisajili lakini Cha kushangaza ukiomba inaseme job application failed
Kuna jamaa yangu alikuwa na tatizo kama hiyo alibadilsha haikuwezekana ilibidii aende utumishi Dodoma wakabadilisha ikakaa sawa.Na mimi Nilikutana na mtu ana changamoto ya vyeti yaani aliweka vyeti ambavyo havikuwa verified kubadilisha tuu imekuwa mitihani ,akiapply anaambiwa vyeti haviko verified na kubadilisha haiwezekani