Mimi nimesoma uchumi pure na kwenye category watu wa uchumi wametuweka pia lkn kila nikijaribu ku-apply hiyo Planning Officer II (TPA) inanitemaSema izi course zingine mnazo soma duh si Bora ungesoma uchumi pure au finance (accounts) pure
Ulitumia njia gani kufanikiwa, uliwapigia direct? Au ulibadili category? Msaada please kwa maslahi ya wengiHii ni changamoto labda ya mfumo
Kuwapigia direct simu hazipokelewi , lakni pia nadhani watu walifanya mawasiliano na viongiozi wa chuo kuwajulisha juu ya changamotob yetu chuo wakafanya mawasiliano na wahusika nadhani hii itakuwa imesaidia piaUlitumia njia gani kufanikiwa, uliwapigia direct? Au ulibadili category? Msaada please kwa maslahi ya wengi
Okay poa nilidhani wewe ndio ulieshughulikia.Kuwapigia direct simu hazipokelewi , lakni pia nadhani watu walifanya mawasiliano na viongiozi wa chuo kuwajulisha juu ya changamotob yetu chuo wakafanya mawasiliano na wahusika nadhani hii itakuwa imesaidia pia
Naona mfumo umeshatulia sasa nime-submitt leo mida hii ya jioni imekubaliHii ni changamoto labda ya mfumo
Wamepitia hapa na kuamua kuwasaidia msiache kuishukuru JFNaona mfumo umeshatulia sasa nime-submitt leo mida hii ya jioni imekubali
Mrejesho wakuuMimi nimesoma uchumi pure na kwenye category watu wa uchumi wametuweka pia lkn kila nikijaribu ku-apply hiyo Planning Officer II (TPA) inanitema
Yeah nahisi itakua hivyo maana kila mtu alikua analalamikaWamepitia hapa na kuamua kuwasaidia msiache kuishukuru JF
Ahsante.
Acha ujuaji hauoni kuwa wametoa mrejesho kuwa tatizo Lao lipo solvedUkiona kozi jina lake linaunganishwa na neno "and" hiyo si kozi, umepigwa. Ingekuwa eidha umesoma "Investment Planning" au ungesoma "Development Finance" hapo ingependeza Wala usingepata shida
Endelea kusubiria😋Acha ujuaji hauoni kuwa wametoa mrejesho kuwa tatizo Lao lipo solved
Sawa Ila tumia akili kuelezea jamboEndelea kusubiria😋
Likazi gani? Wakati madogo wanaenda wanakula za Uso wote wanalala mbeleKuna likazi huko tpa linakuwa re advertising Kila mara sio vijana wa kucover hapo awapo no linagoma kuombwa.
We komaa na majibu yanayokufurahisha, haya mengine achana nayo mkuu, nzuri ukisomea jambo moja ...achana na mambo ya kusomea x and y kwa wakati mmoja😄. Ningekushauri mapema ila ukiendelea mbele zaidi stiki na kimoja mzee. Labda kama unampango wa kujiajiri na kuajiri wengine sawaSawa Ila tumia akili kuelezea jambo
Kwa akili yako ndogo ulidhani ajira portal ni Mungu sio
Eti kozi ikiwa na neno and haikubali
Sasa umeona wenzako walivyotoa mrejesho kuwa tatizo lao lipo solved from now.
Hakuna kitu kama hicho mkuu, kozi yeyote inayotolewa na chuo kilichosajiliwa na serikali ni kozi halali. Kinachokea ajira portal sometimes huwa ni changamoto za kimfumo, mfano mimi nimesoma uchumi pure no and walala nini lkn mfumo bado ulikua unanikataa, ingawa sasa hivi tayari imeshakubali nime-submittUkiona kozi jina lake linaunganishwa na neno "and" hiyo si kozi, umepigwa. Ingekuwa eidha umesoma "Investment Planning" au ungesoma "Development Finance" hapo ingependeza Wala usingepata shida
Vijana wa JF mna mambo hata sisi wazee ambao tupo na 50+ mnatuambia mambo ya Ajira portal 😁 mnakariri mambo sioWe komaa na majibu yanayokufurahisha, haya mengine achana nayo mkuu, nzuri ukisomea jambo moja ...achana na mambo ya kusomea x and y kwa wakati mmoja😄. Ningekushauri mapema ila ukiendelea mbele zaidi stiki na kimoja mzee. Labda kama unampango wa kujiajiri na kuajiri wengine sawa
Ukiona kozi jina lake linaunganishwa na neno "and" hiyo si kozi, umepigwa. Ingekuwa eidha umesoma "Investment Planning" au ungesoma "Development Finance" hapo ingependeza Wala usingepata shidat
Shida hakuwa kozi mkuu , nadhani ilikuwa changamoto tu ya mfumo , pia wapo watu wamesoma economics mfumo mwanzo ukiwakataa lakni wametoa mrejesho sasa wanaweza kuombaUkiona kozi jina lake linaunganishwa na neno "and" hiyo si kozi, umepigwa. Ingekuwa eidha umesoma "Investment Planning" au ungesoma "Development Finance" hapo ingependeza Wala usingepata shida