mkweliwatz
Member
- Dec 6, 2025
- 8
- 11
Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kituambie Wanafunzi tunaosoma hapo, kuna nini katika mfumo wao wa matokeo?
Kuna changamoto nyingi ambazo hazina majibu na zile zinazopewa majibu yanakuwa mepesi, mfano Wanafunzi kutokuwa na matokeo wakati ratiba ya supplementary imetangazwa, sasa jiulize unatoaje ratiba ya watu kurudia mitihani wakati matokeo ya awali hawajayapata? Sasa watajipangaje?
Pia, baadhi ya Wanafunzi kutokuwa na matokeo huku dirisha la appeal likiwa limefungwa, hii haijakaa sawa.
Baadhi ya Wanafunzi kupewa matokeo siyo yao (Online V Physical), usahihi wa matokeo kwa ambao hawajalalamika unakuwaje na usahihi wa matokeo kwa ujumla!
Kinachouma zaidi ni kuwa chuo hakina majibu/ushirikiano kwa wanafunzi wenye changamoto mbalimbali zikiwemo hizo za matokeo. Tunaoishi mikoa ambayo matawi yao hayapo tunatumia gharama na muda mwingi bila mafanikio.
Pia soma:
~ Uongozi wa IAA, tafadhali chukueni kwa uzito suala la weledi, maadili ya ufundishaji na usimamizi wa mitihani
~ Changamoto kubwa kwa Wanafunzi wa Masters IAA: Matokeo, Appeals na Dissertation
~ Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) boresheni huduma zenu za online, zinatukwaza Wanafunzi
~ Serikali ya wanafunzi chuo Cha uhasibu Arusha (IAA) main campus - Arusha umefanya ubadhirifu wa fedha za wanafunzi
~ Chuo cha uhasibu Arusha kinawalazimisha waombaji wajiunge chuoni hapo,hakuna option ya kuahirisha maombi,na wanachagua kozi ambazo hawajaomba