KERO Mfumo wa PEPMIS umechangia Watumishi 370 wa Halmashauri ya Jiji la Dar tusipandishwe daraja

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Idara ya Utawala na Rasilimali Watu. Tuna changamoto kubwa inayohusu mfumo wa PEPMIS, ambapo mwaka 2025 tulitakiwa kupanda daraja lakini haikuwezekana kutokana na supervisors kushindwa kuingia kwenye mfumo huo.

Cha kusikitisha ni kwamba hata mwaka huu 2026 tatizo hilo limejirudia tena, na wahusika wa kufanya marekebisho ya mfumo huu ni upande wa utumishi. Mwajiri wangu anaendelea kufanya mawasiliano, lakini kutokana na uzito wa tatizo hili, tuko kwenye hatari ya kukosa tena haki yetu ya msingi ya kupanda daraja licha ya kufanya kazi kwa ufanisi bila matatizo.

Tatizo hili limeathiri zaidi ya watumishi 370 wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kutoka kada mbalimbali. Tunaomba kusaidiwa kupata sauti yetu—ikiwa mfumo huu hauwezekani kwa sasa, basi tupandishwe madaraja kwa kutumia utaratibu wa zamani ili tusipoteze haki zetu.
 
Kuna kero ambayo inatusumbua sana kwa sasa, Kwa Msaada wako naomba uifikishe ili serikali iifanyie kazi.
Kero yenyewe ni, kuna vigezo mbalimbali katika kupandishwa vyeo au daraja kwa watumishi wa umma, Kigezo ambacho kimekuwa kilio kwa wengi ni PEPMIS(e-Utendaji) ambapo serikali imeweka alama kuanzia 75% za utendaji kwenye mfumo wa ESS.

Hiki kigezo kimefanya watumishi wengi wakose nafasi ya kupanda daraja kuanzia mwaka wa fedha 2024/2025 na mwaka 2025/2026.

Naomba kutoa mfano halisi wa mwaka jana, serikali kupitia WIZARA YA MENEJIMENTI YA UTUMISHI NA UTAWALA BORA iliamua ili mtumishi apande daraja pamoja na vigezo vingine lazima awe na Score ya 75% kwenye pepmis, badae wakashusha hadi score ya 60%.

Pamoja na kushusha score ya 60% bado watumishi wengi walikosa vigezo vya kufikisha score hiyo. Hivyo serikali kupitia utumishi iliamua kutumia PROGRESS badala ya SCORE. Kigezo ikawa progress ya 60%.

Ni kweli watumishi wengi walipata nafasi ya kupanda daraja, lakini bado wapo ambao hawajatimiza hicho kigezo cha Progress ya 60% na kushindwa kupanda daraja, na siyo kwamba ni uzembe wao la hasha zipo sababu zilizo wakwamisha.

CHANGAMOTO ZILIZOJITOKEZA KATIKA MFUMO NI:

1. Baadhi ya Watumishi kutokufanyiwa Tathimini (Assessment) na Wakuu wa vituo
2. Baadhi ya maeneo ya watumishi wanapofanyia kazi mtandao ni changamoto.
3. Baadhi ya subtasks kutoweka na kupelekea kuwa na Alama(Progress) chache.
 
Serikali Sirikali Thelikali. Waangalieni Watumishi hawa kwa jicho la huruma. Wana familia na ukoo unawategemea.
 
Hii changamoto ni kubwa sana! Supervisor's wengi walishindwa kulog in mfumo ulisumbua unakuta hakuna kitu kabisa huna score yaani NO DATA
 
Hiv score iwe ngap ndio unapanda
? Naskia watu wameanza kupanda
 
Nitafuteni twende mahakamani mpandishwe madaraja yenu. Haki haiombwi, INADAIWA.
0713368153
 
Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Idara ya Utawala na Rasilimali Watu. Tuna changamoto kubwa inayohusu mfumo wa PEPMIS, ambapo mwaka 2025 tulitakiwa kupanda daraja lakini haikuwezekana kutokana na supervisors kushindwa kuingia kwenye mfumo huo.

Cha kusikitisha ni kwamba hata mwaka huu 2026 tatizo hilo limejirudia tena, na wahusika wa kufanya marekebisho ya mfumo huu ni upande wa utumishi. Mwajiri wangu anaendelea kufanya mawasiliano, lakini kutokana na uzito wa tatizo hili, tuko kwenye hatari ya kukosa tena haki yetu ya msingi ya kupanda daraja licha ya kufanya kazi kwa ufanisi bila matatizo.

Tatizo hili limeathiri zaidi ya watumishi 370 wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kutoka kada mbalimbali. Tunaomba kusaidiwa kupata sauti yetu—ikiwa mfumo huu hauwezekani kwa sasa, basi tupandishwe madaraja kwa kutumia utaratibu wa zamani ili tusipoteze haki zetu.
Utendaji wenu unaridhisha?

Because naona kama ubora wa huduma zenu bado uko chini tu
 
Nyinyi matako hamna kazi yoyote mnayo fanya . Asilimia 80% ya wafanyakazi wa serikali ni mizigo isiyo na tija wala faida kwa nchi ..mnakula kodi zetu bure tu
 
Back
Top Bottom