KERO Mfumo wa PEPMIS umechangia Watumishi 370 wa Halmashauri ya Jiji la Dar tusipandishwe daraja

KERO Mfumo wa PEPMIS umechangia Watumishi 370 wa Halmashauri ya Jiji la Dar tusipandishwe daraja

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Vyeo vyenyewe havina hela, unakuta unaongezwa laki3 sasa hiyo sio hela at least cheo kiwe na nyongeza ya 800000/-
 
Nyinyi matako hamna kazi yoyote mnayo fanya . Asilimia 80% ya wafanyakazi wa serikali ni mizigo isiyo na tija wala faida kwa nchi ..mnakula kodi zetu bure tu
Unajua maana ya PAYE???
 
Ukute mfumo wenyewe ulitengenezwa ili watu wasipande madaraja hovyohovyo.
 
Ki msingi inaumiza sana kuona mtu anakwama kwenye mambo ya msingi km haya kwa uzembe tu wa supervisor. Kila wiki napandisha kazi kwenye mfumo na nikishapandisha namfuata Supervisor apitishe kazi zangu, hajafanya hivyo huwa siwezi kuendelea na chochote hadi kazi yangu ipitishwe. Majira ya fainal assessment huwa siwezi kutulia hadi nifanyiwe assessment na na hakikisha muda mwingi niko online kuona msimamizi wangu amefanya nini. In case amefanya jambo ambalo si sahihi tunavurugana hadi kinaeleweka, hii ni kwa sababu viongozi wengine wanatumia PEPMIS kuwaumiza walioko chini yao , isipokuwa makini unapoteza haki zao ilhali umetimiza majukumu yako kwa usahihi.
 
Back
Top Bottom