Ki msingi inaumiza sana kuona mtu anakwama kwenye mambo ya msingi km haya kwa uzembe tu wa supervisor. Kila wiki napandisha kazi kwenye mfumo na nikishapandisha namfuata Supervisor apitishe kazi zangu, hajafanya hivyo huwa siwezi kuendelea na chochote hadi kazi yangu ipitishwe. Majira ya fainal assessment huwa siwezi kutulia hadi nifanyiwe assessment na na hakikisha muda mwingi niko online kuona msimamizi wangu amefanya nini. In case amefanya jambo ambalo si sahihi tunavurugana hadi kinaeleweka, hii ni kwa sababu viongozi wengine wanatumia PEPMIS kuwaumiza walioko chini yao , isipokuwa makini unapoteza haki zao ilhali umetimiza majukumu yako kwa usahihi.