BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kenya wana mfumo mzuri wa uongozi wa vyama vyao vya siasa na ndio maana hutakaa usikie sijui Raila apumzike, sijui Kalonzo sasa atupishe kule Wiper.
Kenya chama kama ODM na vyama vingine wana kiongozi mkuu wa Chama ambaye ni Raila Odinga, huyu ni mbeba Idea ya ODM, hiki cheo gakishindaniwi, hiki ni cheo cha mbeba maono ya Chama.Pia kuna Mwenyekiti wa Chama na kuna katibu hapa ndio kuna kushindaniwa. Huu ni mfumo wa vyama vyote vya Kenya hata kinacho tawala sasa hivi.
Ruto ni Kiongozi mkuu wa UDA ila pia kuna Mwenyekiti wa UDA ambaye ni Mama mmoja Gavana.
ACT ya Zitto walicopy hii ila Zitto sehemu alopo chemka ni kuweka cheo cha mkuu wa Chama kishindaniwe, hapa ndipo alipo chemka. Yule Kiongozi mkuu wa chama cha ACT sio mbeba Idea ya Chama.
Zitto alipaswa kubakia na cheo cha mkuu wa Chama kwa sababu ndio Mbeba maono ya chama cha ACT Wazalendo.
Hii ishu imeleta shida kwa vyama vingi sana Tanzania hasa vya Upinzani, kuanzia NCCR Mageuzi, hadi leo hii.
CUF ya Lipumba na Malim seif walikuwa ndii wameba Idea ya CUF, hawakuoaswa kuhojiwa wala kushindanishwa kokote kule ba watu wa kuja.
Na hii ndio mianya sasa inayo tumiwa na CCM kuvuruga vyama. Wakenya walisoma mchezo kutambo sana.
CDM walishindwa kuliona hili mapema kabisa na kufanya setting.
Pia ni Tanzania pekee ambako raia tuna fight vyama vya upinzania ambayo havijashika dola na kuiacha chama kilichopo Madarakani.
Kule Zimbabwe Mogani Tsvangilai sina hakika na spelling alipambana na Mugabe hadi mauti yake hakuna siku ameambiwa akae pembeni.
Wakina Michael Satta wa Zambia wamepambana miaka na miaka hadi kuja kuwa Raisi wa Zambia na kufariki, hakuwahi hapo nyuma kuambiwa apumzike siasa kachoka wala kazeeka.
Ingekuwa ni Tanzania yule Bwana mdogo wa Uganda angeisha ambiwa amechoka akae pembeni.
Yaani udhaifu wa sisi Watanzania tunausukumizia kwa viongozi wa vyama.