Anna Nkya
Member
- Oct 21, 2021
- 69
- 341
Hapa Tanzania bwana siku hizi, kiila kitu utasikia lawama zinaenda kwa mama wa watu Rais Samia. Yani hata mahali hahusiki kabisa utasikia analaumiwa Mama wa watu kiasi kwamba tunajiuliza mnabebesha mizigo asiyostahili kiwa sababu yeye ni mwanamke na ninyi mmezoea viongozi wanaume au ndio hizo hila mbaya ndani ya chama chake?
Sasa hivi mnamlalamikia kupanda kwa bei za vitu, mnamlaumu hata kupanda kwa bei za mafuta na gesi. SHAME ON YOU, hata kama mmefungwa na minyonyoro ya mfumo dume, baasi angalau jifunzeni mambo yanavyoenda ili mlaumu wa haki.
Twene kwenye pointi. Ulaya na Marekani, mfumuko wa bei uko juu sana.
Ulaya muda huu (Mtaifa 19 wanachama wa EU), Mfumuko wa bei uko 4.9%. Hicho ndio kiwango cha juu zaidi tangu kuanzishwa kwa umoja wa Ulaya.
Bidhaa zimepanda sana, mafuta na gesi yako juu zikipanda kwa zaidi ya 26%.
Marekani mfumuko wa bei uko 6.2%, kiwango cha juu zaidi tangu mwaka 1982. Kuapnda kwa bei za bidhaa huko nako ni kwa ajabu, mafuta yako juu mno.
Haya, huko nako alaumiwe Samia na kukumbukwa Magufuli kama mnavyofanya hapa Tanzani? Maana watu wenye hila wanadai " OOOH, MAGUFULI ANGEKUWEPO"
Cmoon, ni ukweli wa mambo dunia nzima. Corona imetupia.
At least now chini ya Rais Samia tunaambiwa ukweli, nimeona hapa kwamba bodi ya takwimu ilisema ukweli kwamba na sisi mfumuko wa bei umepanda. Kuna kipindi hapa takwimu zilikuw azinapikwa tudanganywe kila kitu kiko poa wakati ukweli wa mambo tulikuwa tunaangamia.
MWISHO : Uchumi wa Dunia uko Taabani, but we must thank our President anafanya kazi nzuri kw auwazi kabisa. Tumuombee , tumuunge mkono na tuchape kazi.