chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Yeye huo mshahara wala hilo daraja hana... Nchi inaanguka hii unataka watu wakae kimya?Usilete umbea! Katika miezi michache hii, serikali imefanya mambo makubwa kuliko miaka mitano ya serikali iliyopita. Mishahara imepanda, na watu wamepanda madaraja, sasa wewe unalilia nini?
Na wewe mmbea mwingine; nchi inapaa sasa baada ya magufuli halafu wewe unaleta za kwako.Yeye huo mshahara wala hilo daraja hana... Nchi inaanguka hii unataka watu wakae kimya?
Mimi sitaki kufanya comparisona baada ya magufuli au sijui nani... MFUMUKO WA BEI UKO NI TATIZO wanaotuwakilisha wako kimya ... na humu nako mnataka muwafunge watu midomo,?Na wewe mmbea mwingine; nchi inapaa sasa baada ya magufuli halafu wewe unaleta za kwako.
Haa HaaNa wewe mmbea mwingine; nchi inapaa sasa baada ya magufuli halafu wewe unaleta za kwako.
π π π π π π Wapuuzi hawatakaa waishe duniani. Sasa hivi majizi yapo kila kona.Usilete umbea! Katika miezi michache hii, serikali imefanya mambo makubwa kuliko miaka mitano ya serikali iliyopita. Mishahara imepanda, na watu wamepanda madaraja, sasa wewe unalilia nini?
Tuchape Kazi Ndugu Zangu Tukimtanguliza Mungu Mbeleπ π π π π π Wapuuzi hawatakaa waishe duniani. Sasa hivi majizi yapo kila kona.
Mambo ni makubwa mpaka Nauli zimepandaUsilete umbea! Katika miezi michache hii, serikali imefanya mambo makubwa kuliko miaka mitano ya serikali iliyopita. Mishahara imepanda, na watu wamepanda madaraja, sasa wewe unalilia nini?
Hawajakuelewa..π€£Na wewe mmbea mwingine; nchi inapaa sasa baada ya magufuli halafu wewe unaleta za kwako.
Kumbe ww ndio umepewa kitengo cha kumsifu hangaya? Sawa unafurahia kupanda mishahara harafu pesa yako hiyo hiyo ukienda sokoni haitoshi hata kujaza kapu ssa inafaida gani au nsio unasubiri miaka 60 ule miaez 5 pesa zako ziiishe halafu ujawe na stress UFE?Usilete umbea! Katika miezi michache hii, serikali imefanya mambo makubwa kuliko miaka mitano ya serikali iliyopita. Mishahara imepanda, na watu wamepanda madaraja, sasa wewe unalilia nini?
Haya ndiyo madhara ya kuwa na bunge la chama kimoja.WAbunge wapo bungeni
Hakuna anayegusia mfumuko wa bei seriously.
Jana nimeshangaa sana kuna ndg yangu ametoka Masasi kwenda Dar nauli 28000/= kutoka 18000-22000 /= hii ni hatari sana.
Wabunge wetu wekeni thamani ya ubunge wenu.
Hakuna amani ya moyo katika maisha ya sasa.
Ebu wacha kuchaa chako,Usilete umbea! Katika miezi michache hii, serikali imefanya mambo makubwa kuliko miaka mitano ya serikali iliyopita. Mishahara imepanda, na watu wamepanda madaraja, sasa wewe unalilia nini?
Kwa mujibu wa vijana na wazee wa ccm hawatakiwi kuikosoa ccm.Yeye huo mshahara wala hilo daraja hana... Nchi inaanguka hii unataka watu wakae kimya?
Endeleeni kumkumbuka nyi nyi msiyo na kazi ya kufanyaHawajakuelewa..[emoji1787]
Ila kuna msemo, 'Mtanikumbuka'.