Mfumuko wa bei ni tishio kwa maisha ya Watanzania

Ebu wacha kuchaa chako,
Hivi hujui kuwa sasa hivi mfumuko wa bei upo juu sana?

Kazi ya serikali ni kuwajibika kwa wananchi bila kujali kama imefanya nini jana.
mfumuko umeanza lini! Mie sijauona.
 
Hao wabunge wa Magufuli shida za watz awazijui.Waliwekwa na magufuli Ili wabadili katiba atawale milele akakutana na mkono wa Mungu, Hakuna mtawala yeyeto atakaewaumiza watz na Mungu amwache tulishuhudia sokoine pia.Ukija na mbwembe za kupambana na watu badala ya maendeleo utaondoka tu,nchi yetu upendwa Sana na Mungu atoruhusu wahuni waumize watu.
 
Haya ndiyo madhara ya kuwa na bunge la chama kimoja.

Kila mtu anaogopa kuikosoa serikali maana anahofia kuhatarisha kitumbua chake.
Hao wabunge wa Magufuli 90% awatorudi bungeni akiwemo ndugai na tulia, polepole analijua hili thus mapema kavunga eti atogombea.2025 tutawapa wabunge waliochaguliwa na wananchi na sio tume.upinzani watakuwa na viti vingi sana,maana shetani alishafungwa minyororo si tishio tena.
 
WAbunge wapo bungeni
Hakuna anayegusia mfumuko wa bei seriously.
Jana nimeshangaa sana kuna ndg yangu ametoka Masasi kwenda Dar nauli 28000/= kutoka 18000-22000 /= hii ni hatari sana.

Wabunge wetu wekeni thamani ya ubunge wenu.

Hakuna amani ya moyo katika maisha ya sasa.
Ukiwa na wabunge wamachinga kama Msukuma wa darasa la saba, unategemea nini?
 
Kwa sasa tunapanga safu ya makatibu wa chama kwa ajili ya twente twente faivu, hili la mfumuko tumelichukua na tutalifanyia kazi.......alisikika mpita njia mmoja pale maeneo ya lumumba.
 
Usilete umbea! Katika miezi michache hii, serikali imefanya mambo makubwa kuliko miaka mitano ya serikali iliyopita. Mishahara imepanda, na watu wamepanda madaraja, sasa wewe unalilia nini?
Kwa hiyo Watanzania million 60 wote ni wafanya kazi wamepandishwa vyeo na mishahara yao imependa
Unajuwa asilimia ngapi ya Watanzania wameajiriwa na Serikali?
 
Hao wabunge wa Magufuli 90% awatorudi bungeni akiwemo ndugai na tulia, polepole analijua hili thus mapema kavunga eti atogombea.2025 tutawapa wabunge waliochaguliwa na wananchi na sio tume.upinzani watakuwa na viti vingi sana,maana shetani alishafungwa minyororo si tishio tena.
Habari wameipata
 
Kwa hiyo Watanzania million 60 wote ni wafanya kazi wamepandishwa vyeo na mishahara yao imependa
Unajuwa asilimia ngapi ya Watanzania wameajiriwa na Serikali?
Wachana na huyu zombie wa lumumba
 
Usilete umbea! Katika miezi michache hii, serikali imefanya mambo makubwa kuliko miaka mitano ya serikali iliyopita. Mishahara imepanda, na watu wamepanda madaraja, sasa wewe unalilia nini?
Na nchi ina furaha...hewa ikawa nyepesi baada ya tarehe ileeeee?
 
Kwa hiyo Watanzania million 60 wote ni wafanya kazi wamepandishwa vyeo na mishahara yao imependa
Unajuwa asilimia ngapi ya Watanzania wameajiriwa na Serikali?
Hao waliopandishwa vyeo ni wangapi? wakati huku kwenye wakala ni malalamiko kila kona......huyo ni wa kupuuza tu hajui hata analoongea.
 
Usilete umbea! Katika miezi michache hii, serikali imefanya mambo makubwa kuliko miaka mitano ya serikali iliyopita. Mishahara imepanda, na watu wamepanda madaraja, sasa wewe unalilia nini?
Dah uyu nae ni mtanzania pia, Bro ukihama kwa dada utaelewa uyu jamaa analozungumzia.

Sekta ipi iyo iliyopandisha mishahara na kwaasilimia ngapi
 
Watu waliopanda madaraja na mishahala hawazidi milioni tatu ukijumulisha na wafanyakazi wote sasa hao ndo wasababishe hali nzuli kwa milioni 60?
 
Usilete umbea! Katika miezi michache hii, serikali imefanya mambo makubwa kuliko miaka mitano ya serikali iliyopita. Mishahara imepanda, na watu wamepanda madaraja, sasa wewe unalilia nini?
Haya ndiyo maisha wanayotaka wale vijana wa pale mjengoni,, sasa na sisi kajamba nani inatusaidia ni hiyo mishahara iliyopandishwa,,
Ashushe bei ya mafuta, dizeli,, petrol,, vifaa vya ujenzi,, sukari,, barabara ziboroshwe na miundo mbinu mengine!!
 
Dah uyu nae ni mtanzania pia, Bro ukihama kwa dada utaelewa uyu jamaa analozungumzia.

Sekta ipi iyo iliyopandisha mishahara na kwaasilimia ngapi
Sasa tabasamu mliloshangilia kurejeshewa na nchi kufunguliwa si ndio hayo?! Tulieni.
 
Usilete umbea! Katika miezi michache hii, serikali imefanya mambo makubwa kuliko miaka mitano ya serikali iliyopita. Mishahara imepanda, na watu wamepanda madaraja, sasa wewe unalilia nini?
Yeye amezungumzia mfumuko wa bei na sio mishahara
 
WAbunge wapo bungeni
Hakuna anayegusia mfumuko wa bei seriously.
Jana nimeshangaa sana kuna ndg yangu ametoka Masasi kwenda Dar nauli 28000/= kutoka 18000-22000 /= hii ni hatari sana.

Wabunge wetu wekeni thamani ya ubunge wenu.

Hakuna amani ya moyo katika maisha ya sasa.
Kwani tuna wabunge? Si tulishakubaliana kwamba lile ni kusanyiko la mazuzu?
 
WAbunge wapo bungeni
Hakuna anayegusia mfumuko wa bei seriously.
Jana nimeshangaa sana kuna ndg yangu ametoka Masasi kwenda Dar nauli 28000/= kutoka 18000-22000 /= hii ni hatari sana.

Wabunge wetu wekeni thamani ya ubunge wenu.

Hakuna amani ya moyo katika maisha ya sasa.
Tangu lini wabunge wa CCM wakajadili mfumuko?
 
Hao waliopandishwa vyeo ni wangapi? wakati huku kwenye wakala ni malalamiko kila kona......huyo ni wa kupuuza tu hajui hata analoongea.
Yupo kwa shemeji yake hivyo anakula na kulala bure
 
Back
Top Bottom