Mfumuko wa bei ni tishio kwa maisha ya Watanzania

Mfumuko wa bei ni tishio kwa maisha ya Watanzania

Usilete umbea! Katika miezi michache hii, serikali imefanya mambo makubwa kuliko miaka mitano ya serikali iliyopita. Mishahara imepanda, na watu wamepanda madaraja, sasa wewe unalilia nini?
acha uongo we mtu, mishahara sasahivi kwa wachumia tumbo wa serikali ni mwaka wa 7 huu hamna nyongeza yoyote usidanganye watu we jamaa wa Lumumba, kupanda daraja sio nyongeza ya mshahara kama unavyoshadadia wewe, waulize wenyewe watakwambia , hata shabibyb jana katoka povu sana bungeni juu ya jambo hilo google utaona labda kama unatumia kitochi cha TTCL
 
Wabunge wapo bungeni,

Hakuna anayegusia mfumuko wa bei seriously. Jana nimeshangaa sana kuna ndg yangu ametoka Masasi kwenda Dar nauli 28000/= kutoka 18000-22000 /= hii ni hatari sana.

Wabunge wetu wekeni thamani ya ubunge wenu.

Hakuna amani ya moyo katika maisha ya sasa.
Mifumuko yenu ya hovyo haiwahusu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nawasalimu wanajf wote popote mlipo.

Siku ya pili Sasa nimeshindwa kupata jibu la swali tajwa ,maana ni kilio kwa kila ndugu na jamaa kutoka mikoa mbali mbali ambao tunawasiliana muda mwingi achilia wazee wangu walio vijijini,wakati inasemakana mama anaupiga mwingi.

Kwa kuwa JF Kuna wachumi na watu wenye UPEO wa Mambo ya kadha wa kadha naombeni mnijibu swali langu


Mpaka Sasa
1. Vifaa vya ujenzi havikamatiki, naambiwa Mwanza mfuko unacheza kuanzia Elfu ishirini na kuendelea, DODOMA mfuko kuanzia tsh 17000 na kuendelea,ujaweka mabati , nondo n.k, Sasa sijui mikoa ya pembezoni Hali ipo vipi ,jibu Hali itakua mbaya

2.Matumizi ya kila siku ya nyumbani Hali ipo ivyo, nyama kwa Sasa wanakula wachache maana kilo ipo elfu saba mpaka elfu nane

Kwa ujumla kila kitu kiko juu, Bila kusahau miamala ya kwenye simu ,ukitoa tsh 120,000/= Makato ni elfu 5300 na point

Katika mazingira Kama ya Sasa tunatoka vipi, na shida nini Hali kua Kama ilivyo sasa
 
Back
Top Bottom