Mfumuko wa bei ni tishio kwa maisha ya Watanzania

Mfumuko wa bei ni tishio kwa maisha ya Watanzania

Dah uyu nae ni mtanzania pia, Bro ukihama kwa dada utaelewa uyu jamaa analozungumzia.

Sekta ipi iyo iliyopandisha mishahara na kwaasilimia ngapi
Amerogwa huyo
 
Watu waliopanda madaraja na mishahala hawazidi milioni tatu ukijumulisha na wafanyakazi wote sasa hao ndo wasababishe hali nzuli kwa milioni 60?
Kavurugwa huyo ndiyo maana kaukimbia uzi wake mwenyewe.
 
Kumbe ww ndio umepewa kitengo cha kumsifu hangaya? Sawa unafurahia kupanda mishahara harafu pesa yako hiyo hiyo ukienda sokoni haitoshi hata kujaza kapu ssa inafaida gani au nsio unasubiri miaka 60 ule miaez 5 pesa zako ziiishe halafu ujawe na stress UFE?
Kama mshahara umepanda, Una wezaje kulalamika kupanda bei Kwa baadhi ya vitu!!?..Nauli za Mabasi ya kwenda Mikoani zina simamiwa na vyombo husika lakini Basi hivi zina class/standard/madalaja!!..Mbona hamongelea bei ya vyakula na vinywaji kushuka au mafuta?!!..Mama 2025 tena
 
WAbunge wapo bungeni
Hakuna anayegusia mfumuko wa bei seriously.
Jana nimeshangaa sana kuna ndg yangu ametoka Masasi kwenda Dar nauli 28000/= kutoka 18000-22000 /= hii ni hatari sana.


Wabunge wetu wekeni thamani ya ubunge wenu.

Hakuna amani ya moyo katika maisha ya sasa.
Wako kwenye vikao vya chama CCM. Hakuna wawakilishi pale. Wawakilishi wanachaguliwa na wananchi wapiga kura. Wale ni wanachama wa CCM walioko bungeni.
 
Ile white powder mara ya mwisho nilinunua elf 15, imepita miezi sita nimeulizia elfu 33......finishing za nyumba zinakuwa ngumu, vifaa vya ujenzi vinazidi kupaa....
😆😆😆 Eti mnarejeshewa tabasamu!
 
Usilete umbea! Katika miezi michache hii, serikali imefanya mambo makubwa kuliko miaka mitano ya serikali iliyopita. Mishahara imepanda, na watu wamepanda madaraja, sasa wewe unalilia nini?
Sasa mkuu kwani kila mtu ni mtumishi? Hujui kuwa watumishi nchi hii hawazidi laki 5??
 
Watu waliopanda madaraja na mishahala hawazidi milioni tatu ukijumulisha na wafanyakazi wote sasa hao ndo wasababishe hali nzuli kwa milioni 60?
Milion 3??? Acha masihara
Jumla ya watumishi wote wa serikali ni laki 5, na hapo nusu yake ni walimu.
 
Usilete umbea! Katika miezi michache hii, serikali imefanya mambo makubwa kuliko miaka mitano ya serikali iliyopita. Mishahara imepanda, na watu wamepanda madaraja, sasa wewe unalilia nini?
Katika hayo madaraja wewe umekuwa nani na ndugu zako kule vijijini wamepandishiwa mishahara au bei za bidhaa? Think and act mkuu
you talk nothing..
 
Nataka nikwambie tu! Musukuma anawapigania zana watu wa chini hata waliotolewa kazini aliwapigania sana! Kuhusu umachinga wa musukuma nikujulishe tu usije ukamuona Fala yule ni tajiri kulikoni hata ukoo wako wote! Na hana njaa kamaunavyomfikiria!
Anaweza kuwa tajiri kama mfalme Huihuihui, lakini kama kapata kwa njia zisizo halali, hawezi kuwa mfano wa kuigwa maana kichwani kwake kumejaa hizo fiksi tupu.

Mambo ya kiuchumi kitaifa kwake ni kama mswahili kumuongelesha kisukuma.

Na wewe kama hulielewi hilo basi kapange meza kijijini kwako.
 
Back
Top Bottom