Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Chawa hawanaga akili haoUsituchefuea hapa.Huyo ndio katuharibia nchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chawa hawanaga akili haoUsituchefuea hapa.Huyo ndio katuharibia nchi.
Hiyo ndiyo kazi ya CHAWAWapi kamtaja magufuli?
Swali kubwa sana kwa huyo interahamweTusemeje kuhusu Mkapa aliyetelemsha mfumko toka 34% hadi 7%?
HopelessNilijua utapinga hadharani but moyoni unamkubali inatosha
Anaombea dada yake asigombane na mumeweLazima useme hivyo maana wewe unalishwa na hawara wa dada yako hivyo hujui uchungu wa vitu kupanda bei
Bado wanaamini kuwa watanzania bado tupo usingiziniTatizo akili ndogo imeshika usukani, siku hizi kila kitu lawama zinapelekwa kwa soko la dunia.
Endelea kuisoma namba! Njoo hapa Shabaha Mbezi Beach upate K Vant moja bwana mdogo.Hayo yote yanawapata wapinzani tu.
ccm kwao ni sikukuu kila siku maana wana bajeti yao maalumu ndiyo maana wanatuambia kuwa tutaisoma namba.
Wametutia umasikini wa kutupwa kwa takribani miaka 60Adui mkubwa wa nchi hii ni CCM nahisi mwl alisahau kukitaja chama chake
Na wanaccm ndio wanakoma zaidi,maana hawawezi/hawaruhusiwi hata kukosoaUtakoma! CCM bado ipo sana tu!