KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Mkuu '4 7mbatizaji', utaniwia radhi kama nimeonekana kuwa ninafoka; la hasha sikuwa na maana ya kuonekana hivyo, na wala hakuna "shari" yoyote hapo! Hata sielewi ni kwa vipi umeichukulia kuwa hivyo. Sioni popote katika maandishi yangu panapoonyesha "shari".Mbona imeandika KWa kunifokea , hoja yako ipo kushari Sana, ok naeshim mawazo yako mkuu, ila binafsi naona umejadili KWa kulaisisha sana