4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
So KWa akili yako nyembamba , unafiki Kuna jipya, alafu msikandie mwendazake walikua water na Kama ni kuaribu waliaribu WOTE, Sasa unategemea kipi kipya, alisema viatu vya mwendazake havimtoshi,Hiyo 2025 ni mbali sana,kwa akili yako mbovu unadhani Hali itaendelea kuwa worse? Mama anakabili madhara ya upuuzi wa Jiwe but by 2023 uchumi utatengamaa
Màana yake KWa yale yote wamefanya nae akiwa makamo ya we mazuri au mabaya speed yake haifiki ya awam ya tano , japo anajitaidi kuitafuta speed iyo, KWa màana nyingine husitegemee jipya ,