Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipambana na tatzo bila kujua na kudhibiti chanzo chake n sawa na kuupaka upepo rangi
Chuma ya aluminum iliyo kuwa inauzwa 30000 Sasa ni 55000
Vioo vilivyo kuwa vinauzwa 44000 kwa Sasa ni tsh 120000-150000 /= hii si sawa nafikiri Kuna shida mahala ,hata Kama chnzo cha mfumko ni korona lakini wafanya biashara wamejiongeza mbele zaidi.
Bahati mbaya kabisa serikali haisemi chochote kuhusu mufumko huo.
Ni hatari sana
Alirudi under gun point,walitumia nguvu kubwa kumzuia aside rais na ndipo walipoiacha barabata na wame chochola mpaka leoNimecheka mkuu,kwamba lahana ya mzee Lowasa itawatafuna ccm mpaka mwisho,lakini alisharudi nyumbani ,maana nyingine amesamehe
Sasa mkuu, ni kipi ambacho ni kigumu kwako kukielewa katika hayo uliyoandika?Nawasalimu wanajf wote popote mlipo.
Siku ya pili Sasa nimeshindwa kupata jibu la swali tajwa ,maana ni kilio kwa kila ndugu na jamaa kutoka mikoa mbali mbali ambao tunawasiliana muda mwingi achilia wazee wangu walio vijijini,wakati inasemakana mama anaupiga mwingi.
Kwa kuwa JF Kuna wachumi na watu wenye UPEO wa Mambo ya kadha wa kadha naombeni mnijibu swali langu
Mpaka Sasa
1. Vifaa vya ujenzi havikamatiki, naambiwa Mwanza mfuko unacheza kuanzia Elfu ishirini na kuendelea, DODOMA mfuko kuanzia tsh 17000 na kuendelea,ujaweka mabati , nondo n.k, Sasa sijui mikoa ya pembezoni Hali ipo vipi ,jibu Hali itakua mbaya
2.Matumizi ya kila siku ya nyumbani Hali ipo ivyo, nyama kwa Sasa wanakula wachache maana kilo ipo elfu saba mpaka elfu nane
Kwa ujumla kila kitu kiko juu, Bila kusahau miamala ya kwenye simu ,ukitoa tsh 120,000/= Makato ni elfu 5300 na point
Katika mazingira Kama ya Sasa tunatoka vipi, na shida nini Hali kua Kama ilivyo sasa
Wachoyo,omba sasa isitokee kanda ya ziwa,utasumbukiwa samaki wakati wao hata hao wadudu wa baharini hawaji nao[emoji1][emoji1][emoji1] Ukitoka mkoani utasikia unatuletea nini ndg yetu?Wkt wao wakitoka Dar kuja mkoani hata nazi 1 hawabebi.
Wachoyo,omba sasa isitokee kanda ya ziwa,utasumbukiwa samaki wakati wao hata hao wadudu wa baharini hawaji nao
Mtauona sana tu, visionary leader mwenye msimamo kama wa JPM kumpata itachukua muda sana. Mlimtukana na kumuita kila jina baya ila he was something.hata mie sielewi ni kwamba kuna watu/wafanyabiashara wanamdharau Mama kwa kuongeza bei ya bidhaa ama vp.
Sa zingine naona umuhimu wa yule dikteta kwasababu kwa sasa mambo hayaeleweki kabisa kuanzia bei ya vitu, umeme, maji nk nk
Sasa hayo ni madhara kweli! Yani kwenye utawala wake misumari kilo uuziwe elf 5 halafu awamu hii kilo hio hio iuzwe elfu 15 utakuwa una kitu zaidi ya bange umetumia.Madhara ya utawala wa mwenda zake madhara ndiyo yanaonekana sasa hivi...
-Nafanya kazi kariakoo kwenye hardware vitu vimepanda bei sana..
mfano kitu kilicho kuwa kinauzwa elfu 50 sasa hivi ni laki moja na 60..
Uchumi uliharibiwa sana.. Yale maduka yaliyokuwa yakifungwa enzi za mwenda zake madhara yake ndiyo haya
Kama unapenda sana Lowasa nenda ukanywe naye chai.Hii nchi mambo yalianza kugeuka 2015 hii ni laana ya lowasa mlimtukana mkapora alichopewa na Mungu 'ushindi' mkamtabiria kifo mkamtukana sasa mnakufa wenyewe,mlimbagua mnazidi kubaguana,Ccm mliomtenda yule mzee hamtabaki salama,kibaya kinacho fanya Mungu asimame dhidi yenu "AMENYAMAZA KIMYA"
Ukiona wanakula miguu ya kuku kwa wingi maana yake kuku wameliwa kwa wingi pia! Ha ha ha!Hali ni mbaya kwelikweli,nimeona watu Tandika wanakula miguu ya Kuku kama mlo wao kamili.
Mbona imeandika KWa kunifokea , hoja yako ipo kushari Sana, ok naeshim mawazo yako mkuu, ila binafsi naona umejadili KWa kulaisisha sanaSasa mkuu, ni kipi ambacho ni kigumu kwako kukielewa katika hayo uliyoandika?
Hii serikali haikuficha kitu toka mwanzo, kwamba maslahi ya wafanya biashara ndio kipaumbele cha serikali hii. Wewe hukuwahi kusikia 'Maza Mizinguo' toka mwanzo akijieleza?
Sasa ulitegemea atafanya nini ili kutimiza hayo aliyowaahidi watu wake! Kwani hapa kweli kuna swali gumu lolote ulilouliza?
Au wewe hukuamini alivyokuwa akitangaza mipango hiyo? Au ulitegemea atawazawadia kitu gani hao watu wake 'special' ndipo uelewe kwamba kweli alimaanisha alichokuwa akisema!
Wakati mwingine watu hupenda kujichanganya tu wenyewe, mahala ambapo hapana mkanganyiko wowote. Pengine kwa unazi wako kwake hukupenda kabisa kuamini kwamba yeye atasababisha hali iwe ngumu kama unavyoieleza.
Basi sasa elewa, hali unayojisikia nayo ni matokeo ya kuwaridhisha watu waliochaguliwa kuneemeka katika utawala huu. Wewe na hao wazee wako huko vijijini hamumo kwenye kundi hilo maalum.
Sasa umeelewa?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣twafaaaaMama alishasema yeye hafokifoki ni vitendo tu....kakaa kimya anatucheck kwa upoleee na kwa jicho legevu la jinsia ya kike. Kazi iendelee.