Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Gharama zimebadilika sababu kubwa ni nchi yetu tunategemea sana vitu kutoka nje... sasa sea freight charges have gone so high compared to previous years na bado zinaongezeka hii imepelekea kuongeza gharama kwenye malighafi na bidhaa zinazoingizwa nchini ili kucover ongezeko hilo... mwanzoni mwa mwaka huu sea frwigh for 40 feet container ilikua around $4,000 na sasa ni around $8,000
serikali ya sisiyemu ikiongozwa na chifu hangaya ni sikivu tunawaletea ndege nyingi za mizigo muwe wa pole.