Mfumuko wa bei ni tishio kwa maisha ya Watanzania

Nawasalimu wanajf wote popote mlipo.

Siku ya pili Sasa nimeshindwa kupata jibu la swali tajwa ,maana ni kilio kwa kila ndugu na jamaa kutoka mikoa mbali mbali ambao tunawasiliana muda mwingi achilia wazee wangu walio vijijini,wakati inasemakana mama anaupiga mwingi.

Kwa kuwa JF Kuna wachumi na watu wenye UPEO wa Mambo ya kadha wa kadha naombeni mnijibu swali langu

Mpaka Sasa
1. Vifaa vya ujenzi havikamatiki, naambiwa Mwanza mfuko unacheza kuanzia Elfu ishirini na kuendelea, DODOMA mfuko kuanzia tsh 17000 na kuendelea,ujaweka mabati , nondo n.k, Sasa sijui mikoa ya pembezoni Hali ipo vipi ,jibu Hali itakua mbaya

2.Matumizi ya kila siku ya nyumbani Hali ipo ivyo, nyama kwa Sasa wanakula wachache maana kilo ipo elfu saba mpaka elfu nane

Kwa ujumla kila kitu kiko juu, Bila kusahau miamala ya kwenye simu ,ukitoa tsh 120,000/= Makato ni elfu 5300 na point

Katika mazingira Kama ya Sasa tunatoka vipi, na shida nini Hali kua Kama ilivyo sasa
Mkuu hujasikia tuko uchumi wa Kati?
 
Chifu Hana habari yeye anawaz atatoka vipi 2025
 
Usijadili kwa nini vimepanda; jadili namna ya kutafuta kupambana nayo
 
Madhara ya utawala wa mwenda zake madhara ndiyo yanaonekana sasa hivi...

-Nafanya kazi kariakoo kwenye hardware vitu vimepanda bei sana..

mfano kitu kilicho kuwa kinauzwa elfu 50 sasa hivi ni laki moja na 60..

Uchumi uliharibiwa sana.. Yale maduka yaliyokuwa yakifungwa enzi za mwenda zake madhara yake ndiyo haya
Ubarikiwe Sana ndugu yangu.itachukua muda mrefu ku heal maumivu ya jpm
 
Naona ni duniani kote vitu vimepanda na sababu kubwa inaweza kuwa ni uviko

Hata China vitu vimeongezeka bei

Hapa [emoji636] kwa mara ya kwanza fuel imefika £1.52 (4,500/=) kwa litre na bidhaa nyingi zimepanda
Maisha yatakuwa magumu zaidi kama mishahara itakuwa hivyo hivyo
Ila wenzetu wanajielewa
 
Madhara ya utawala wa mwenda zake madhara ndiyo yanaonekana sasa hivi...

-Nafanya kazi kariakoo kwenye hardware vitu vimepanda bei sana..

mfano kitu kilicho kuwa kinauzwa elfu 50 sasa hivi ni laki moja na 60..

Uchumi uliharibiwa sana.. Yale maduka yaliyokuwa yakifungwa enzi za mwenda zake madhara yake ndiyo haya
Wewe pimbi huyo Bibi ako nchi imemushinda! Endelea kulaumu watu ambao hatuko nao ni upumbavu uliopitiloza!
 
Bei ya pussie ndo imeshuka, alie kula anakula 50k now 30k na wa 30k now anakula 10k.
 
Nawasalimu wanajf wote popote mlipo.

Siku ya pili Sasa nimeshindwa kupata jibu la swali tajwa ,maana ni kilio kwa kila ndugu na jamaa kutoka mikoa mbali mbali ambao tunawasiliana muda mwingi achilia wazee wangu walio vijijini,wakati inasemakana mama anaupiga mwingi.

Kwa kuwa JF Kuna wachumi na watu wenye UPEO wa Mambo ya kadha wa kadha naombeni mnijibu swali langu

Mpaka Sasa
1. Vifaa vya ujenzi havikamatiki, naambiwa Mwanza mfuko unacheza kuanzia Elfu ishirini na kuendelea, DODOMA mfuko kuanzia tsh 17000 na kuendelea,ujaweka mabati , nondo n.k, Sasa sijui mikoa ya pembezoni Hali ipo vipi ,jibu Hali itakua mbaya

2.Matumizi ya kila siku ya nyumbani Hali ipo ivyo, nyama kwa Sasa wanakula wachache maana kilo ipo elfu saba mpaka elfu nane

Kwa ujumla kila kitu kiko juu, Bila kusahau miamala ya kwenye simu ,ukitoa tsh 120,000/= Makato ni elfu 5300 na point

Katika mazingira Kama ya Sasa tunatoka vipi, na shida nini Hali kua Kama ilivyo sasa
Hii nchi mambo yalianza kugeuka 2015 hii ni laana ya lowasa mlimtukana mkapora alichopewa na Mungu 'ushindi' mkamtabiria kifo mkamtukana sasa mnakufa wenyewe,mlimbagua mnazidi kubaguana,Ccm mliomtenda yule mzee hamtabaki salama,kibaya kinacho fanya Mungu asimame dhidi yenu "AMENYAMAZA KIMYA"
 
Mafuta yakipanda bei hakuna bidhaa inasalimika!
 
Legacy ya Magufuli inawatesa Sana wezi na wajanja wajanja.

Kama Kuna anaebisha subirini 2025, naamini Watanzania tunaakili Sana.
 
Wafanyabiashara wakubwa ndio wameishikilia nchi hii kwa sasa.

Hao ndio walioshurtisha wamachinga waondolewe mitaani ili wafanye biashara zao kwa uhuru.

Jambo baya zaidi ni kuwa hawalipi kodi.

Ni majizi maandamizi ambayo kazi yao ni kuitafuna nchi hii.
 
Unadhani machinga huwa wananunua wapi bidhaa zao kama si kwa hao unaowaita wafanya biashara wakubwa ? Kwao wao "wafanyabiashara wakubwa" uwepo wa machinga unamanufaa makubwa kwao, maana machinga ndio wasambazaji wa bidhaa zao.
Tukizungumzia kodi na mfumo wake wa ukusanyaji, unadhani nani hutozwa kodi ? Machinga alivaa kitambulisho au mfanya biashara mkubwa anayezalisha kiwandani au anayeagiza mizigo kupitia bandarini ??
 
Gharama zimebadilika sababu kubwa ni nchi yetu tunategemea sana vitu kutoka nje... sasa sea freight charges have gone so high compared to previous years na bado zinaongezeka hii imepelekea kuongeza gharama kwenye malighafi na bidhaa zinazoingizwa nchini ili kucover ongezeko hilo... mwanzoni mwa mwaka huu sea frwigh for 40 feet container ilikua around $4,000 na sasa ni around $8,000
 
Back
Top Bottom