Mfungo wangu wa siku 40 bila ya kula chochote umekamilika

Mfungo wangu wa siku 40 bila ya kula chochote umekamilika

Weeee nawe subiri upae sasa km siku arobaini zoote umefunga, kadanganye waumimi zako huko.
 
Kuna jamaa yangu alijaribu kufunga wiki bila kula Wala kunywa chochote baada ya siku 4 akawa taabani ikabidi apelekwe Zahanati kushtuka drip zinatembea tu.
 
Habari ndugu zangu,
Leo ninao furaha kubwa kwa sababu bwana ameniwezesha kufunga mungo wa siku arubaini bila kula chochote .
Tangu mwezi wa 11 tarehe 15 nilipoingia kwenye kifungo hicho hadi leo
ulifunga ili iweje?
 
Back
Top Bottom