Tetesi: Mgeja na wenzake watano kurudi CCM

Kama kuna asiyejua mpaka leo kuwa siasa ni unafiki basi huyo anaishi ili ale
 
Warudi tu huko Ccm watuachie chadema yetu
 
kwani huyo baba riz nae si ni msaliti tu, hana lolote, hivi watu wanadhani bila ccm hawaishi
 
Inatia raha pale Wanaccm mnapojifanya Wana CHADEMA! kupiga propaganda hasi!

So stupid!
 
confidence level ya wanasiasa wa bongo nje ya CCM ni ndogo kuliko punje ya haradali.
 
hao nyumbu niatshangaa wakikubaliwa kurudi ccm. hheri kua na wanachamaa wajinga wanajitambua na kukubali kuelimishwa kuliko watu wajinga walafi wanaoongozwa na njaa kujaza matumbo yao makubwa
 
hao nyumbu niatshangaa wakikubaliwa kurudi ccm. hheri kua na wanachamaa wajinga wanajitambua na kukubali kuelimishwa kuliko watu wajinga walafi wanaoongozwa na njaa kujaza matumbo yao makubwa
Umeongea pumba tupu
 
hehe! mimi nasema wasipokelewe wabaki hukohuko
Hao waendelee kuzungusha mikono ya Lowasa mabadiliko. Wakipokekewa mwishowe yule aliyesema ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo ataomba arudi
 
PALEKA MHAKAMANI HUU USHAHIDI WA MEMBE, KWANINI CHMA CHA HAKI KAMA CHADEMA MTETEZI WA WANYONGE, KISIMSHITAKI MEMBE NA USHAHIDI WOTEE HUU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…