Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?
Inaweza kuwa ni lugha tu au pengine mtu aliyemfundisha mgeni mualikwa namna ya kutamka kirefu cha CCM hakuweza kufikia lengo kutokana na muda wa mafunzo. Au pengine kuna mengi tusiyoyajua!

Pamoja na makosa hayo ya kimatamshi bado hatuwezi kuzuia tafakari zaidi.

Je, awamu iliyopita ilikuwa ya makondoo ambao kila jambo walikubaliana nalo pasipo kuhoji pengine kutokana na hofu?
Na je awamu ya sasa ni ya mambuzi ambao wanakula kwa urefu wa kamba huku wakijiamulia vile watakavyo?

NB: Ni mtazamo tu!
 
Back
Top Bottom