Captain mopao
Senior Member
- Feb 25, 2021
- 133
- 384
Leo asubuhi wakati nasikiliza taarifa ya habari nimepata update ya nini kinachoendela huko mashariki ya kati.
Taarifa inasema Palestine wamelusha makombora zaidi ya alfu moja kwenda Israel.
Mfumo wa iron dome wa kuzuia makombora wa Israel uliweza kuzuia kwa kiwango kidogo, na yaliyo weza kupenya yalileta madhara na inasadikiwa wa Israel 6 wamekufa mpaka sasa
Lakini pia usiku wa juma nne na jumatano Israeli waliiijibu Palestine kwa kurusha makombora mia moja ambayo yaliharibu majengo kadhaa ikiwemo makao makuu ya hamas na mitambo ya mawasiliano pamoja na kuua watu 56.
Huu mgogoro unahusisha dini kwa asilimia mia zote. Waislam wakiwa wanisapot Palestine na sisi wakristo tupo upande wa Israeli.
Waislam wa hapa kwetu wanakasirishwa sana na kitendo cha sisi kuisapot Israeli ilihali sisi hatuwalaum wao kuisapot Palestine
Hii inanifundisha kwamba biblia ni kitabu cha kweli maana haya yameandikwa humo.
Kuna story nyingi kuihusu Israel na uhalali wa kua pale lakini hadith halisi inaanzia kwa Yusufu kwenda Misri inahitimishwa na wana Israel kutoka misri kuludi kwao. Hizo zingine zimetungwa kwa manufaa ya watu fulani.
Huu ugomvi upo sio kwa sababu ya ardhi hapana. Huu ugomvi upo kwa sababu waarab wameamua kua adui na mungu.
Ingawa wao husema Israeli imelaaniwa.
Vipi wao ambao hamjalaaniwa na mnapigwa vita kila siku mmeahindwa kumuomba allah awape wepesi kabisaa?
Biblia inaniambia ataefanya vita na Israel amegusa mboni ya jicho la mungu.
Kataa kua adui wa mungu.