Mgogoro kati ya Israel na Palestine

Mgogoro kati ya Israel na Palestine

Captain mopao

Senior Member
Joined
Feb 25, 2021
Posts
133
Reaction score
384
Leo asubuhi wakati nasikiliza taarifa ya habari nimepata update ya nini kinachoendela huko mashariki ya kati.

Taarifa inasema Palestine wamelusha makombora zaidi ya alfu moja kwenda Israel.

Mfumo wa iron dome wa kuzuia makombora wa Israel uliweza kuzuia kwa kiwango kidogo, na yaliyo weza kupenya yalileta madhara na inasadikiwa wa Israel 6 wamekufa mpaka sasa

Lakini pia usiku wa juma nne na jumatano Israeli waliiijibu Palestine kwa kurusha makombora mia moja ambayo yaliharibu majengo kadhaa ikiwemo makao makuu ya hamas na mitambo ya mawasiliano pamoja na kuua watu 56.

Huu mgogoro unahusisha dini kwa asilimia mia zote. Waislam wakiwa wanisapot Palestine na sisi wakristo tupo upande wa Israeli.
Waislam wa hapa kwetu wanakasirishwa sana na kitendo cha sisi kuisapot Israeli ilihali sisi hatuwalaum wao kuisapot Palestine
Hii inanifundisha kwamba biblia ni kitabu cha kweli maana haya yameandikwa humo.

Kuna story nyingi kuihusu Israel na uhalali wa kua pale lakini hadith halisi inaanzia kwa Yusufu kwenda Misri inahitimishwa na wana Israel kutoka misri kuludi kwao. Hizo zingine zimetungwa kwa manufaa ya watu fulani.

Huu ugomvi upo sio kwa sababu ya ardhi hapana. Huu ugomvi upo kwa sababu waarab wameamua kua adui na mungu.

Ingawa wao husema Israeli imelaaniwa.

Vipi wao ambao hamjalaaniwa na mnapigwa vita kila siku mmeahindwa kumuomba allah awape wepesi kabisaa?

Biblia inaniambia ataefanya vita na Israel amegusa mboni ya jicho la mungu.

Kataa kua adui wa mungu.
 
Sijajua taaraifa zako unazipatia wapi kuihusisha Israel moja kwa moja na Ukristo.

Dini zilizopo Israel mpaka mnamo 2019 ilikuwa 74.2% Wayahudi, 17.8% Waislamu, 2.0% Wakristo, na 1.6% Druze. Asilimia 4.4 waliobaki walijumuisha imani kama vile Usamaria na Bahai na vile vile "wasio na sifa za kidini", jamii ya wale ambao sio wa jamii moja inayotambuliwa.

religious affiliation of the Israeli population as of 2019 was 74.2% Jewish, 17.8%Muslim, 2.0% Christian, and 1.6% Druze. The remaining 4.4% included faiths such as Samaritanism and Baháʼí as well as "religiously unclassified", the category for all who do not belong to one of the recognized communities.
 
Sasa wewe unaejiita mkristo waisrael wanakujua, kwataalifa yako Israel hawaamini katika ukristu na pia wao wanakitabu chao sawa.
 
Sijajua taaraifa zako unazipatia wapi kuihusisha Israel moja kwa moja na Ukristo.

Dini zilizopo Israel mpaka mnamo 2019 ilikuwa 74.2% Wayahudi, 17.8% Waislamu, 2.0% Mkristo, na 1.6% Druze. Asilimia 4.4 waliobaki walijumuisha imani kama vile Usamaria na Bahari na vile vile "wasio na sifa za kidini", jamii ya wale ambao sio wa jamii moja inayotambuliwa.

religious affiliation of the Israeli population as of 2019 was 74.2% Jewish, 17.8%Muslim, 2.0% Christian, and 1.6% Druze. The remaining 4.4% included faiths such as Samaritanism and Baháʼí as well as "religiously unclassified", the category for all who do not belong to one of the recognized communities.
nakazia 💯
 
Hata kama Israel hakuna mkristo hata mmoja bado hujaniambia kitu nitaishabikia mpka kufa siwez kuwasapot waarab ata siku moja
 
Leo asubuhi wakati nasikiliza taarifa ya habari nimepata update ya nini kinachoendela huko mashariki ya kati.

Taarifa inasema Palestine wamelusha makombora zaidi ya alfu moja kwenda Israel.

Mfumo wa iron dome wa kuzuia makombora wa Israel uliweza kuzuia kwa kiwango kidogo, na yaliyo weza kupenya yalileta madhara na inasadikiwa wa Israel 6 wamekufa mpaka sasa

Lakini pia usiku wa juma nne na jumatano Israeli waliiijibu Palestine kwa kurusha makombora mia moja ambayo yaliharibu majengo kadhaa ikiwemo makao makuu ya hamas na mitambo ya mawasiliano pamoja na kuua watu 56.

Huu mgogoro unahusisha dini kwa asilimia mia zote. Waislam wakiwa wanisapot Palestine na sisi wakristo tupo upande wa Israeli.
Waislam wa hapa kwetu wanakasirishwa sana na kitendo cha sisi kuisapot Israeli ilihali sisi hatuwalaum wao kuisapot Palestine
Hii inanifundisha kwamba biblia ni kitabu cha kweli maana haya yameandikwa humo.

Kuna story nyingi kuihusu Israel na uhalali wa kua pale lakini hadith halisi inaanzia kwa Yusufu kwenda Misri inahitimishwa na wana Israel kutoka misri kuludi kwao. Hizo zingine zimetungwa kwa manufaa ya watu fulani.

Huu ugomvi upo sio kwa sababu ya ardhi hapana. Huu ugomvi upo kwa sababu waarab wameamua kua adui na mungu.

Ingawa wao husema Israeli imelaaniwa.

Vipi wao ambao hamjalaaniwa na mnapigwa vita kila siku mmeahindwa kumuomba allah awape wepesi kabisaa?

Biblia inaniambia ataefanya vita na Israel amegusa mboni ya jicho la mungu.

Kataa kua adui wa mungu.
Mi nikuulize wafilist walikua ni watu gani?
 
Mkuu kuna watu wanaamini kuwa dini ya kiyahudi ni ukiristo [emoji23][emoji23] ndio maana humu hawaishi mihemuko, Pasta wa kipalestina ambae ni mkuu wa kikiristo Palestina huwa siku zote yuko upande wa wapalestina leo anatokea mmatumbi hapa anapiga kelele huku akichanganya Uyahudi na Ukiristo wakati hao wayahudi ndio waliomfukuza Yesu na kumkataa
Ata kama Israel wakawa ni budha wote mimi nita isapoti mpka kufa, ni fulaha sana kuona waislam wanapigwa pale middle east
 
Kwenye hilo jeshi la israel kuna waislam,halafu hao wapalestina kuna wakristo kibao hata makanisa yenu ya huko jerusalem ni wakristo wapalestina ndio wanayoyasimamia,sio kila mwarabu ni muislam bwashehe

Screenshot_20210513-040112_Google.jpg
 
UPDATE: Hamas's Al-Qassam Brigades has claimed responsibility for the latest rocket barrage which also targetted Tel Aviv, claiming to have used a new rocket type called 'Ayyash 250'
 
Mkristo kumwona Myahudi ndugu yake ni sahihi. Na hata mimi nitashangaa kumwona Muisrael ambaye ni Mkristo.

Iko hivi, Myahudi amefanywa makusudi na Mungu/Yesu asiamini Ukristo, ili injili iende kwa mataifa. Baada ya wakati wa injili kwa mataifa utapoisha (karibu na Rapture) bas Waisrael watafunguliwa macho na watamwamini Yesu Kristo.

Hakuna makosa kwa Mkristo kuamini Myahudi ni ndugu yake.
 
#BREAKING: Hamas now sending suicide drones laden with explosives to border communities in southern Israel
 
#BREAKING: Israelis in Gaza border area asked to turn off security cameras in homes and businesses, following intelligence that Hamas is waging cyber warfare, taking over the systems and may gather intelligence. Residents also asked to disconnect the systems from the internet.
 
Israel's nightmare is becoming reality.

Palestinian forces just used Loitering Munition (suicide drones) to target Israeli terrorists.

Attack was successful and Palestine will soon reveal the details of the operation.
 
Back
Top Bottom